Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Wednesday 8 August 2012

HIKI NDICHO ROMA ALICHOKIANDIKA BAADA YA KUPONA KWENYA AJALI MBAYA YA GARI


Roma akitoa maelezo kwa polisi mara baada ya kupata ajali hivi majuzi

WAZ BAD (D.A.N.G.E.R) ACCIDENT!!! NI VILE TU MUNGU ALISEMA NO!!!(tuendelee kuishi) OTHERWS INGEKUWA NDO BABA JENNY BYE BYE... NASEMA ASANTE MUNGU JINA LAKO LITUKUZWE MILELE YOTE!! THANX MY MAMA, MY FAMILY, KWA MAOMBI YENU KTK KIPINDI HIKI KIGUMU(nimemaliza salama mungu awazidishie pale mlipopungukiwa) THANX TO MY BEBY(a alwayz kaunting on u kisses lav lav)THANX TO MA' HOME BOY DICKY( a guy tuliyepata naye ajali-...pole bro sikuweza kuushinda usukani ule, ulinizidi nguvu..aaaah sitaki hata kukumbuka, bt thanx ulikuwa jasiri sana, naikumbuka ile biblia uliyoichukua pale mezani home wakati tunaanza safario na kuiweka kwenye begi ukisema itatusaidia njiani, nikakwambia thatz ma boy...nw u see?)THANX KWA ASKARI WALE WA BARABARANI MLITENDA VEMA KAZI YENU(familia zenu zibarikiwe sana)THANX KWA DEREVA YULE WA SCANIA TULIYE COLLIDE NAYE(ulijitahidi sana kunikwepa
otherws ningekuvaa uso kwa uso malaika mlinzzi alikuwa na sisi, pole pia kwa kuumia kwa gari yako tuliyamalizza salama na awish 1day tukutane tena lakini isiwe kwa ajali....hahahaha at least nacheka sasa, asante bro)THANX KWA WANAKIJIJI WALE(dat kaka mwenye rasta mungu akulipe sana, ulikuwa wa kwanza kufika eneo la tukio, nakumbuka ulipofika tu ulishtuka na neno la kwanza lilikuwa aah kumbe ni roma, umetusaidia sana ubarikiwe pamoja na raia wote wa pale kwa kutulinda sisi na mali zetu hatukuibiwa chochote!!)AJALI NI MAFUNDISHO TOSHA DAT ANYTHING CAN HAPPEN AT ANY TYM "t" SO NIMEJIFUNZA PIA...THANX KWA DJ CHOKA(u knw hw we do son, nakumbuka kuna m2 aliuliza pale hampo na choka hapa?hahaha nikamjibu aaah choka kijukuu cha mtume akikataa show ujue kifuatacho ui.t.v ni majanga.com hahaha tuklicheka wote pale tukijaribu kusahau na kufuta huzuni ze2)THANX KWA MANECK(neke boi A.M REC..u playd yo part ninja!!) THANX TUNDA MAN(pengine usingenipa hii safari ya ngwangwangwa la moro pengine yasingetokea haya,ila hukuwa unayajua, ungeyajua ungenambia nisiende,thanx kwa ukarimu wako kwangu ubarikiwe ktk kazi zako kaka)THANX MA BUSINESS PARTNER IZZO B(we alwyz like family, yo' ze only 1 uliyejitoa zaidi ktk hili yo' ma braza frm anaza mam.a lav dis mbeya city kid)THANX KWA TONGWE REC FAMILY, J...MURDER(my office, lav yenu idumu milele yote, ni mitihani tu hii ilipangwa itoke kwa sababu maalum..lav u tongwe)....LAST BT NAT LEAST NASEMA ASANTE KWA WOTE MLIOKUWA NAMI KWA KUNIFARIJI, KUNIPA POLE, KUNIOMBEA NA VYOTE VEMA! IMENISAIDIA SANA NA IMENIPA MOYO NA MUNGU AWABARIKI NA KUWAONGEZEA PALE MLIPOPUNGUKIWA...(mashabiki, wapenzi wangu, marafiki, jamaa, wasanii,wadau wa mziki,ndugu na wale wote...INAWAHUSU!!)

JANA NA LEO ZINAIJENGA KESHO, JIPANGE SASA, USISUBIRI IKUKUTE...NENO NINGE HUJA BAADA YA DIZASTA.............
R.O.M.A. 2030


UKO TAYARI KUONGEA NA TAYLOR SIWFT LIVE?



Ndio, ni kweli !! Mwanamuziki huyu mkubwa wa Pop duniani ataongea moja kwa moja na wewe. Hii itakuwa ni kupitia youtube.com/TaylorSwift kwenye mida ya 4pm PST / 7 EST Tarehe 13/8 siku ya Jumatatu ili kusikia habari kubwa kutoka kwa Taylor Swift na pia wewe kumuuliza maswali yako yoteee. Kwa kujiuliza... Ni habari gani kubwa anayotaka kuisema??? Labda tuhisi ni kutoka katika album yake itakayofuata... Jiandae na Taylor siku ya Jumatatu.
http://youtu.be/I4TIvOCa3t8

NYUUMBANI LOUNGE YAFUNGWA KWA MATENGENEZO ITAFUNGULIWA BAADA YA RAMADHANI

Hivi ndivyo ukarabati unaendelea
Big boss Gadnar ( alietia mkono mfukoni) akimwelekeza fundi cha kufanya
Marekebisho yakiendelea

PAMOJA NA UJANJA WOTE..KWELI DIAMOND HAJUI KUOGELEA

Jembe akijiandaa kujaribu kuogelea

MweeehKK
Sio kwenye mike tu hata huku kwahitaji m
Diamond akipigwa tizii
Nakufaaaaa....

MMMHHHH...GOT NO COMMENT

Hey picha hzi zinamaanisha nini?Lema kafanyeje?



SHABIKIWA PREZZO AIMWAGIA BIG BROO MATUSI

Sylvanus Joseph (shabiki wa Prezzo) ameamua kuipeleka hasira yake dhidi ya ushindi wa Keagan kwenye shindano la BBA Stargmame kwenye level nyingine na kumwaga matusi ya nguoni kwa haters wote wa Prezzo.

“YOU ASS HATERS OF PREZZO GO AND FUCK YOU KEAGAN ACCENT, AND REMEMBER THAT PREZOO IS MORE THAN OF YOUR BOY IN EVERYTHING FROM , MONEY, POPULARITY, TALENT AND EVEN KNOWLEDGE. SA SHOULD THANKS GOD FOR THAT COMPANSATION FROM BIOLA FOR 7YRS LOSS, JUST EVEN WITH A NARROW MIND DO YOU THINK KEAGAN WAS EVEN BETTER THAN LADYMAY/ YOU STUPID PORNSTARS BE KEEN.

PREZZO WILL STILL DO HIS MUSIC AND OWN HIS MINING COMPANIES, MAKINI SCHOOLS, HOUSES AND EVEN THOSE MAKINI HERBALS. OFCOURSE HE IS RICH ENOUGH AND AS HE TOLD YOU THAT HE DOn't CARE FOR 300K USD. HE WANTED TO TELL YOU THAT HE IS THE BOSS AND KENYA IS REAL PLACE TO BE. SHAME ON YOU GUYS WHO ARE THE HATERS.

NONINI AHAMIA KWENYE UTANGAZAJI WA REDIO


Habari ni kwamba Kenyan Rapper/Singer amechukua nafasi ya Tina Kaggia katika kipindi cha asubuhi, yaani 'Breakfast Show' katika kituo cha radio cha 1FM. Nonini sasa atatangaza kipindi hicho na Marcus Olang' ambapo Tina Kaggia amehamia katika kipindi kingine katika radio hiyo.
       Wengine wanaweza kudhani Nonini ni mpya katika utangazaji wa Radio lakini aliwahi kufanya kazi kama Celebrity Radio Presenter katika kituo cha Radio cha YFM, ambayo kwa sasa inafahamika kama HOT 96.
       Nonini ni msanii aliyeshinda tuzo nyingi toka atoke kimuziki mwaka 2000 kutoka studio za Calif (Calif Records). Nonini ni mmoja wa wasanii waliotunga aina ya muziki wa Genge na sasa hivi anatambulika na Jamii ya Haki Miliki ya Muziki nchini Kenya.

SINTA AMVAA NEY WA MITEGO LIVE


Inaonekana Sintah ameamua kuinunua kesi ya wasichana wa Bongo Movies na Ney Wa Mitego aliyewadiss kuwa ni Malaya.




Haya ndo aliyoyaandika kwenye website yake.

“Hivi wa wapi weweee,mbona husomeki weweee,tume google hupatikani wewe. Shukurani kwa mdogo wako alietuletea picha yako ya beach, sijui nani sijui nay utaweza??
Jipange,namuonea huruma mama yako kuzaa kiumbe kilichoharibikiwa, nina jaribu kugoogle naona Ne-yo wa US sasa nisaidie nitupie kwa mnyamani au kiembe mbuzi niambieeee ili nikupate my brodaaaaa you have just tickled a private part of a tiger,,, you wanted promo now you gotta maza vitumbua.

NEY WA KUJITEGA MWENYEWE MAANA UNA CHASTE  MBU SIJUI UTAMTEGA NANI, KAMA UNA SHIDA NA MIMI DJ DJ DJ AND MY BRODAA CHOKA ANAJUA NINAPOEGESHA MILONJO YANGU  SASA KAMA UNATAKA KUIKATA KAMA ULIVYOWAMBIA WATU WAKO BBM (MAANA HU HUNA HADHI YA KUKAA KTK MY BBM LIST) MWAMBIE AKULETE.MDOMO HUPONZA KICHWA NA UMEJIPONZA.

LOVES LEO NIMEWAFUNGULIA COMMENT MTU AKIGUSWA ATAJIJUA MAANA NIMECHOKA KUONEA WATU HURUMA KAMA NOMA NA IWE NOMA.NEY NIMESHAMPA RUHUSA MLINZI AKURUHUSU UINGIE SWALI ANAKUJUA??? JIPANGE ULIPOCHOKOZA SIPO KABISA. UNSTOPPABLE.NOTHING BUT CONFIDENCE.

MSICHANA AMBAYE ANA TWO SIDES (COOPERATE FIGURE NA ACTRESS) OOH SORRY USIJE MCHANA NITAKUWA SERENA NINA APPOINTMENT NA WORLD BANK CREW CONCERNING MY LAUNCH.SINA SHIDA NA  MTU ILA UKINIANZA HUWA NAMALIZA  SHIDA ZAKO.”

Tutegemee wimbo wa New wa Mitego maalum kwa kumdiss Sintah hivi karibuni.

HAPPY BELATED B-DAY TO NANCY SUMARI


Jana ilikuwa siku ambayo Miss Tanzania 2005, Nancy Sumari, ambaye ni mshiriki pekee kutoka Tanzania kuwahi kufanya vizuri kwenye mashindano ya Miss World baada ya kutinga  hatua za mwisho na hata  kunyakulia taji la Miss World Africa.
Nancy aliamua kusherehekea siku yake hii ya kuzaliwa kwa style ya aina yake kwa kushirikiana na  mabalozi wenzake wa kampeni ya ‘Elimu yao Wajibu Wetu’ Faraja Nyalandu na Rebeca Gyumi kwa kulitembelea bunge jijini Dodoma kwa ajili ya kuhamasisha uchangiaji kwa ajili ya ujenzi wa mabweni.



Nancy akiwa na Mhe. January Makamba, Rebecca Gyumi na Faraja Nyalandu

Katika kampeni yao Nancy na wenzake wana kauli iitwayo
"Changia Tofali" ambapo kila mtanzania mwenye mapenzi mema na elimu nchini anaweza kuchangia kwa kutuma  ujumbe fupi wa SMS yenye maandishi CHANGIA TOFALI kwenda kwenye namba 15564, na utatozwa Tsh 250. Lengo la kampeni hii  ni kuchangia ujenzi wa hostel 30 ambazo zitawahudumia wanafunzi wa kike 1,504.

BARNABA'S NEW MANAGER

Kama wewe si mfuatiliaji wa burudani ya hapa nyumbani Tanzania then huna haja ya kutokumjua manager mpya wa artist wa chart-buster song ya "Magube Gube" aitwaye Hellen Kazimoto.
Well kama ulikuwa humjui ni kuwa licha ya umri wake mdogo Hellen aliwahi kupiga kazi mjengoni aka Clouds kama  Events/ Projects, Logistics coordinator ambayo aliifanya kwa mafanikio makubwa.
Hellen kwa sasa ndiye anaemsimamia Barnaba anaetamba na his new single called "Sijutii Kwa Niliyempata" kwenye kazi zake zote za kisanii.
Tanzania Top Model hooked up with her ili kujua nini kilichomfanya akaamua kupiga chini kazi mjengoni na kuamua kuingia kwenye issue uya umeneja.
"Kikubwa kilichonifanya kuingia kwenye issue hii ni kupanua wigo wangu  wa kipato na kiukweli kuna tofauti ya kufanya kazi as mwajiriwa na kufanya kazi wewe kama wewe, so to me kufanya kazi zangu binafsi kunanipa uhuru zaidi"-Hellen ambaye pia anafanya kazi na kampuni ya South of A iitwayo 30 + Events ambayo ni kampuni dada wa Another Privilege ambazo zinadeal na outdoor events/projects pamoja na Club Fusion ambazo ni new clubs nchini.
"Ninatamani kuona Tanzania ikiwa na the so called msanii si msanii jina bali mwenye kila kitu kinachotakiwa kumfanya kuitwa msanii, kama kuwa na his/her own label  kama kina R Kelly, gym yake mwenyewe na vingine vingi ambavyo naamini kwa nguvu za Mungu na ushirikiano wa wadau wenye uelewa mpana wa mziki hapa nchini nitafanikiwa kuitimiza ndoto hii"-added Hellen ambaye anatarajia kumsimamia Joh Makini kwa siku za usoni.

MANENO ATAMANI KUUNDWA KWA UMOJA WA MAMENEJA NCHINI

Alimmanage TID enzi hiizooo, kisha akammanage Diamond na baadae Sam wa Ukweli and recently jamaa kasitisha mkataba wa kufanya kazi na Rich Mavoko kabla ya kutimkia kwa crew mpya jijini ya Watanashati ambayo iko chini ya big boss himself aitwaye Uastaadhi Juma na Musoma.
   "Tatizo kubwa ambalo tunalo kwenye music industry is that msanii anaona yeye ni mjuaji zaidi kuliko manager and that the success anayopata ni kutokana na nguvu zake, which is very wrong. Imagine manager ndo anayempika msanii, anam-set katika njia ambayo anahisi ni rahisi kuuza kazi zake, anam-brand kama product ili aweze kumnadi kwenye market, anahangaika kumtafutia producers, sponsors, shows, deals, etc.. manager ndo ambaye anafikiria maslahi ya wasanii, anayaweka mbele hata kabla ya kwake mwenyewe. Iweje msanii anapofanikiwa kuitwa star na kuingiza shs mbili mfukoni anamdharau manager wake? mtu aliemtoa from the lowest?? hii mbayaaa"- Maneno.
   Anyways,  manager Maneno anadai kwamba haimsumbui kuhama from one artist to another infact it makes him proud kwamba Diamond is one of the leading bongo artist tulienaye na anatamani kumuona akifika mbali zaidi.
 ''Dhana ya kwamba mimi  najaribu kuwadidimiza wasanii ambao nimevunja nao mkataba si kweli, mimi nafurahia mafanikio yao,  tena natamani sana kuwatengeneza TID wengine kama sita hivi, na Diamond wengine kama watano hivi.. ili bongo flava izidi kukua"
" Tatizo  ni kwamba managers wa hapa Tanzania hatuna thamani kama ilivyo kwa wenzetu,  tunadharaulika sana.Kwanini tusiunde chama ambacho kitakua na sheria za kutulinda na kutuongoza? hii itatupa msimamo hata  kwa wasanii ambao tunawasaidia halafu baadae wanatuona si lolote, si chochote.." added Maneno.

SAMIR AKATAA KUJITOA KWENYA MKATABA WA RINGTONES

Msanii wa bongo fleva Samer Kassim aka Samir amekuwa msanii wa kwanza kujitokeza hadharani na kusema  hawezi vunja mkataba na kampuni inayosimamia nyimbo zake kwenye ringtone sababu bado analipwa pesa nzuri sana na bado anafaidika sana na mauzo ya ringtone ya  wimbo wake wa kwanza  "Ukipenda" uliotoka mwaka 2009 kupitia Rocker Tz Recods uliotengenezwa na producer Tris , fahamu kuwa Wimbo huo ulimpa Samer show 53 Tanzania tu na kumtambulisha katika game la bongo fleva . 

Samir alisema anaamini wasanii wote waliovunja mkataba walijipanga kwanza na kuona hio ndio njia nzuri ya kuboresha mambo yao na yeye atakaa chini na wasimamizi wa kazi zake na kuona uamuzii wao.
Kwa sasa Samir tayari anatamba na ngoma yake mpya iitwayo  "Sina Raha"