Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Thursday 4 October 2012

NGOMA MPYA: SHARK'S FAMILY - KUJINAFASI


ROZAY YUKO NJIANI SASA KUJA DAR KWENYE FIESTA..USHAHIDI HUU HAPA


MENEJA MANENO IS BACK...ATAMBULISHA KUNDI LAKE LIITWALO SHARK'S FAMILY

Meneja Maneno akiwa na crew yake ya Shark's Family

Hivi unakumbuka ile sagga iliyotekea hivi majuzi kati Ostaz Juma na Musoma na Meneja Maneno aka Mr. Project hadi kupelekea wawili hawa kusitisha kuendelea kufanya kazi kwa pamoja?. Haikuishia hapo, issue hii ilienda extra miles baada ya Maneno kuamua kutangaza kuachana na suala zima la kuwasimamia wasanii wa Kibongo na hivyo kudiriki kuingia studio yeye kama yeye kuonyesha uwezo wake wa kuimba pale alipo-record   his debut song called "Unani"
Unaweza kuamini kwamba pamoja na yote Maneno ambaye ni ex- manager wa Banana Zoro, TID, Sam Wa Ukweli, Diamond, Rich Mavoko na pia Mtanashati is back to his roots?, round hii Mr. Project amerejea na his own music crew called Shark's Family.
 Meneja Maneno payed a  visit to our offices ili kufunguka ujio wake mpya and ilikuwa hivi, "Kwanza napenda kuwashukuru Watanzania kwa moyo wao walionionyesha tangu yalipozushwa masuala ya mimi kumtapeli Ostaz Juma hadi sasa, hawakunitenga walinipa support na pia mawazo yao yalinijenga sana thats why leo hii niko hapa kuwatangazia ujio wangu mpya mimi na crew yangu mpya iitwayo Sharks Familiy", Maneno.
"Kwa kifupi Sharks Family ni music crew inayoindwa na wasanii kumi na moja ambao ni Kigwema ambaye ni  meneja msaidizi, Sister P, Tanzanite, Haji Ramadhani, Mbalamwezi, Khaly, Super Zii, Robby, Gody Bonge, Chris, Manyuti na TMD. Licha ya hili pia Shark's Family inamiliki Shark's Entertainment ambayo inamiliki Video production hauz inayofanya production mbalimbali kwenye events kama harusi, musi shows, still pictures etc bila kusahau band ambayo hutumbuiza kwenye hotels na kwingineko".

Nini kilichokufanya urudi kwenye kazi ya kuwasimamia wasanii na wakati ulishatangaza nia yako ya kuacha kazi hiyo, "Mambo hubadilika kulingana na wakati, nachoweza kusema ni kwamba nina love na mziki wa Bongo so nilipofuatwa na big boss wa Sharks Family aitwaye Sharif Mango nilimsikiliza mikakati yake na mimi nikampa ya kwangu and baada ya kukubaliana sikuona shida kukubali.So hii ni time yangu nyingine ya kuwa-prove wrong wale wote wanaodhani kwamba nafanya kazi yangu hii kiubabaishaji", aliongeza Maneno ambaye ana mwezi mmoja tangu aingie Sharks Family.
Nini kipya toka kwenye music crew yako?
"Kwa sasa tunatambulisha ngoma mpya iitwayo "Kujinafasi" ambayo imefanywa chini ya producer Messen at Defatality Studio ambapo baadae itaguatia video ya wimbo huu ambayo iko tayari kabla ya projects nyingine za wasanii wangu kufuatia".
Mipango ya kundi lako kwa ujumla ikoje, "Mipango iko mingi sana, kwanza we are about kufungua audio production house yetu siku si nyingi tunachosubiri ni vifaa kufika bandarini then vifungwe, lengo kubwa la kufanya hivi ni kutengeneza mziki at zero cost kama wanavyofanyaga kina Chameleone na wengine wenye production zao wenyewe", alimalizia Maneno.

2 FACE - IHE NE ME [Official Video]

Icheki video hii ya 2 Face ambapo ndani yake katupia kiwashili....