Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Wednesday 9 January 2013

CHEKI KITUMBO CHA AMBER ROSE

Zimebaki wiki chache Amber aitwe mama, hata hivyo Amber Rose ashindwa kuvumilia kuonyesha tumbo lake pale siku zake za kujifungua zikiwa zinakaribia.
Mwanmke huyo wa miaka 29 aweka picha yake ya profile katika mtandao wa kijamii ujulikanao kama Twitter huku akiweka mikono yake juu ya tumbo lake.

 PICHA ALIYOPIGA HUKU MKONO UKIWA TUMBONNI

Katika picha nyingine aliyopiga, Amber alieleza kuwa ujauzito wake umemfanya atamani sana kula ikapelekea mpaka ku-share picha moja ya vitu anavyotamani sana kula.

PICHA ALIYO-SHARE IKIONYESHA VYAKULA ANAVYOTAMANI SANA KIPINDI HICHI CHA UJAUZITO

BEYONCE STILL HOT AND SEX

Mwanamke matata Beyonce ashangaza watu pale alipopiga picha akiwa amevaa ki top kifupi na nguo ya ndani (chupi) ya aina ya ngozi ya tyger akionyesha tumbo wazi. Ni mwaka mmoja tangu ajifungue mtoto wa kike lakini mbali na kujifungua huko bado yuko Hot and Sex kama alivyopiga picha katika cover ya Jarida lijulikanalo kama GQ kwa kujishaua na kuonyesha kuwa yeye ni mkali zaidi na mashabiki wengi kumkubali

PICHA ALIYOPIGA BEYONCE

Beyonce alijifungua mtoto wa kike mwaka uliopita (2012) akiwa na mumewe Jay-z