Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Thursday 27 September 2012

UNATAKA KWENDA KUMSHUHUDIA ROZAY..VIINGILIO HIVI HAPA


BREAKING NEWS: KENYA WAPIGWA TENA BAO LA KISIGINO NA TANZANIA.....RICK ROSS AIKACHA NCHI HIYO ,ANAKUJA KUWASHA MOTO TANZANIA KWENYE FIESTA 2012 BHAAAAAS


Ni wazi kuwa joto la wapenda burudani kwa sasa litakuwa limepanda hadi degree 43 zaidi ya lile la jiji la Khartoum kutokana na kusubiri kupewa taarifa ya msanii gani wa kimataifa atakayekuja kuwasha moto wenye jukwaa la Fiesta 2012 BHAAAAAAAAS.
Kabla ya wahusika kutangaza ni nani anayekuja team TzTopModel we have the name of who's coming for us!! Guess whaaaat.......  Mayback Music Group  president call him Rick Ross,  Rozay aka The BOSS all tha way from US of America ndiye anayekuja kuonyesha U-boss wake jijini.
Taarifa za awali zilikuwa zikidai kuwa Rozay alikuwa akafanye show jijini Nairobi Ijumaa ya tarehe 5 October mwaka huu ambayo kesho yake ndiyo siku ya Fiesta jijini lakini ma-promoter wa nchi hiyo wameshindwana nae.
Mara ya mwisho alipokwenda kufanya show South Afrika, Wakenya waliambulia kumwona Rozay kwenye uwanja wao wa ndege wa Jomo Kenyata International Airport.
This time around Rozay atapita tena Kenya akija Tanzania kuja kufanya the so called an electrifying, unforgettable, big time performance in Tanzania kwenye Serengeti Fiesta 2012 BHAAAAAAS itakayofanyika kwenye viwanja vya Leaders hapa jijini Dar es Salaam tarehe 6 October 2012.

NEW VIDEO: 2Face Idibia, Wizkid, M.I, Tiwa Savage & D’Banj – Let’s get the Party STARted


KITCHEN PARTY YA AUNTY EZEKIEL TAREHE 24 0CTOBER PALE MLIMANI CITY


We all know Aunty Ezekiel siku si nyingi ataachana na wazazi wake na kwenda kuungana na mumewe aitwaye Demonte ili kuishi kama mume na mke.
Baada ya zoezi zima la kukusanya michango kwa ajili ya harusi  kukamilika,sasa Aunty atafundwa rasmi tarehe 24 October mwaka huu at Mlimani City kabla ya wiki moja baadaye kufanyiwa sherehe katika hoteli ya Serena.

Licha ya kuwepo kwa habari kuwa Aunty Ezekiel hakubaliki ukweni kutokana na vitendo vichafu ambavyo amevifanya siku za hivi karibuni haya ndiyo aliyoyasema, "Taarifa hizo hazina ukweli wowote, naamini watu wenye chuki zao ndio wanaosambaza uongo huo ili kuniharibia mambo yangu".
"Mpaka sasa taratibu za harusi yangu zinaendelea kwa ushirikiano mkubwa wa wakwe zangu na mume wake mtarajiwa", Aunty ambaye hivi majuzi picha zake za uchi zilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.

Video: Jaden Smith – The Coolest







Ni wazi kuwa familia ya Will Smith imejaliwa talents za kila aina kama tulivyoona miaka michache iliyopita Willow Smith akakonga nyoyo za wengi kupitia hit single yake ya mwaka 2010 ya "Whip My Hair”.
Kwa upande mwingine kaka yake Willow aitwaye Jaden anaye hakuwa nyuma, ali-gain attention za watu kupitia kupitia tasnia ya uigizaji  pale alipofyatua movie yake iitwayo "Karate Kid" mwaka 2010.
Kuonyesha kuwa he's from manyota family, Jaden ama-release video ya single yake ya “The Coolest”, itakayokuwa kwenye his upcoming mixtape The Cool Cafe, itakayotoka   October