Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Thursday 27 September 2012

BREAKING NEWS: KENYA WAPIGWA TENA BAO LA KISIGINO NA TANZANIA.....RICK ROSS AIKACHA NCHI HIYO ,ANAKUJA KUWASHA MOTO TANZANIA KWENYE FIESTA 2012 BHAAAAAS


Ni wazi kuwa joto la wapenda burudani kwa sasa litakuwa limepanda hadi degree 43 zaidi ya lile la jiji la Khartoum kutokana na kusubiri kupewa taarifa ya msanii gani wa kimataifa atakayekuja kuwasha moto wenye jukwaa la Fiesta 2012 BHAAAAAAAAS.
Kabla ya wahusika kutangaza ni nani anayekuja team TzTopModel we have the name of who's coming for us!! Guess whaaaat.......  Mayback Music Group  president call him Rick Ross,  Rozay aka The BOSS all tha way from US of America ndiye anayekuja kuonyesha U-boss wake jijini.
Taarifa za awali zilikuwa zikidai kuwa Rozay alikuwa akafanye show jijini Nairobi Ijumaa ya tarehe 5 October mwaka huu ambayo kesho yake ndiyo siku ya Fiesta jijini lakini ma-promoter wa nchi hiyo wameshindwana nae.
Mara ya mwisho alipokwenda kufanya show South Afrika, Wakenya waliambulia kumwona Rozay kwenye uwanja wao wa ndege wa Jomo Kenyata International Airport.
This time around Rozay atapita tena Kenya akija Tanzania kuja kufanya the so called an electrifying, unforgettable, big time performance in Tanzania kwenye Serengeti Fiesta 2012 BHAAAAAAS itakayofanyika kwenye viwanja vya Leaders hapa jijini Dar es Salaam tarehe 6 October 2012.

No comments:

Post a Comment