Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Tuesday 18 September 2012

BREAKING NEWS: WEMA SEPETU AAMUA KUMUUNGA MIGUU AUNTY EZEKIEL..AYAANIKA MAKALIO YAKE HADHARANI

OMG! Is this for real.....
Mmmmmmh!
Aunty Ezekiel



ITAZAME VIDEO MPYA YA MR. PAUL

EXCLUSIVE:CAMP MULLA WACHAGULIWA KWENYE TUNZO ZA MTV EMAs.Nomination kubwa mbili kwa siku moja!


Camp Mulla wamechaguliwa kuwania tunzo za MTV Europe Music Award kwenye category ya Best African Act.
Crew hii imechaguliwa sambamba na WizKid, ambaye tayari wamesha-record nae ngoma.Wengine waliochaguliwa kushindana nao kwenye category hiyo ni pamoja na Nigerian superstar, D'Banj, Mi Casa wa  South Africa  na  Senegal's Sakordie.
Kwenye tunzo za  BET Awards za mwaka huu, Camp Mulla pia walichaguliwa kwenye category moja na Sarkodie na WizKid, ambaye aliibuka kidedea.
Mapema leo asubuhi, ilitangazwa kuwa  Camp Mulla were nominated for a MOBO Award (Music Of Black Origin)  kwenye category ya  Best African Act. Hawa watoto wamezidi sasa.


Kwenye MOBO Award Camp Mulla watachuana na hawa hapa:

Best African Act
Fatoumata Diawara
P Square
The Very Best
Spoek Mathambo
D'Banj
Fally Ipupa
Sarkodi Duncwills
Cabo Snoop
Camp Mulla
Amadou and Mariam

Kuwapigia kura Camp Mulla nenda hapa http://www.mobo.com/voting

CHRIS BROWN ATOBOA PUA KAMA CHIDY BEENZ

Breezy na kipini chake puani

Chidy Beenz

Kama ulikuwa huji ni kuwa tha late 2Pac Shakur naye aliwahi kutoboa pua.

EXCLUSIVE: CHECK OUT MSECHU ALIVYOMPASUKIA SHABIKI MAANDAZI WAKE KWENYE FACEBOOK

Peter Msechu




Hemedy Juma


  Hemedy Jumaa
about an hour ago
Hemedy Jumaa

proud u r xul brada..c 2nakuangalia tu ulvyovnga bt kumbuka yale mapalachich uliyokuw ukimuibia babu matnda na lile dish kubw ukijaz kande ndan..tena unakuja kukaa kwa 4rm one pale agriculture block.unakumbuka?? Au unajifany supastar njaa!? Ndan ya galanos boys hyo.
Peter Msechu
about an hour ago
Peter Msechu

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha unahatari sana we jamaaaaa
Hemedy Jumaa
about an hour ago
Hemedy Jumaa

alaf mpaka snapz zipo..ukibisha tu.naweka kwenye mtandao.ndo mana nikainbox natak ibk kuw siri.
Peter Msechu
about an hour ago
Peter Msechu

weka ziweke tu tena hizo ndo zinapendwa sana na fans wangu
Hemedy Jumaa
58 minutes ago
Hemedy Jumaa

 unajua ulikuw fuckar kinyama coz kwanz uniform zako zilikuw unproper,yan full rough dude!! U ddnt dreamnt 2 be famouz nahz umeroga coz unaoneka witch supoter.fuckyy
Peter Msechu
57 minutes ago
Peter Msechu

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha poleeeeeeeeeeeeeee
Hemedy Jumaa
44 minutes ago
Hemedy Jumaa

i dnt gv all fucka lyk u bitch assup nga..i hate u from ma heart? Motherfaka dude..even ma gal hate u bcoz of ur bodyshape.ur shapeness plus ur dreadyhair u mess.
Peter Msechu
33 minutes ago
Peter Msechu

ha ha ha ha ha ha ha poa tu... haina noma huyo ni gal wako banaah mi anihusu... you all haters... ambao you can do nothing to take away my fame i built it myself... enjoy bro..
Hemedy Jumaa
23 minutes ago
Hemedy Jumaa

r u sur u built dat fame uself??? Do u see hw u r? U dnt hv ata shy!? Coz we were suport u since BSS up to TUSKER PROJECT FAME....i hv been voted u in both competition.bt later on i realize ur nt a wize man..i checked sme radio and tvz interviewz i saw u seemz 2 dis u r xul lyf bt rememb.da voterz were galanos dudez bcoz when we saw u in bss we had ben 2 each other bt da mata 2 tak u up.brada.xo do u believ me hw fucka u r? Crash me if iz wrng
Peter Msechu
8 minutes ago
 
Haikuishia hapo Msechu aliamua kufunguka hivi....
''''haikuwa lazima u vote mkuu ungeacha tu... so kwa sababu ulivote ndo unataka uamkiwe??? pole sana aiseee... kama ulivote thanks kama unadai refund pole sana..... bss nimepata kura zaidi ya milioni 90 so kura yako moja sidhani kama ungeacha kupiga ingeleta effect yoyote and by the way pipo voted for my voice... my voice is what is taking me far mkuu u can do nothing to it... nimeenda tusker nimepigiwa kura billioni 9.7 zote kutaka nicha 5 africa do you think with these two sms of yours unanitumia zitanidiscourage??? pole pole pole sana... ur just a little fish in a ocean.... sema utakacho but up to now msechu is some1 recorgonisable east and central africa and now working hard in USA.. just to go more steps ahead... fanya kitu mkuu utafika tu.. sio wakati wako kudiscuss msechu anamapungufu gani.. haitokusaidia zaidi itakufanya utukane tu matusi ambayo hayatokusaidia wala kunisaidia wala kuniongezea au kunipinguzia kitu..... am working hard na mungu ananilipa... kalia facebook one day utalipwa..... siku zote watu uanza na 1 na mwishoe kupata 100 kama nilikuwa naiba parachichi kwa babu na kula dish zima la makande its fine ndo nilikuwa naanza but for now namshukuru mungu naweza lisha forks kama wewe atleast mwaka mzima... ushauri wangu... wewe na garlfriend wako kaaeni chini tafuteni cha kufanya mkikalia kutafuta msechu alifanya nini na sasa anafanya nini mtaishia kupasuka vichwa am on my way there with my family... happly with my 1 lovely daughter.... ubarikiwe sana mkuu ....



HAPPY BORN DAY TO SHILOLE AND 2FACE IDIBIA

Shilole        

2face Idibia

NEW SONG:BODA BODA - LINEX AND SUMA LEE



ANGALIA BEHIND THE SCENE YA UTENGENEZWAJI WA VIDEO YA WIMBO WA STL UITWAO STELLA STELLA STELLA



ANGALIA TANGAZO LA PEPSI LILILOFANYWA NA KINA WIZ KID NA TIWA SAVAGE





Angalia behind the scene ya ad hiyo...






 

EXCLUSIVE: AMBER ROSE SHOW OFF HER BABY BUMP


KERI HILSON KUWASHA MOTO TENA NIGERIA MWAKA HUU


Nigerian music scene got love with Keri Hilson.
Baada ya kupiga show kali huko Calabar na Lagos nchini humo mwaka 2009, round hii singer wa "Energy" anarudi kukinukisha tena.
Kwa mujibu wa Naija Observer ni kuwa Keri atahit atapiga show huko Abuja mwezi November.
Keri alithibitisha hili kupitia twitter alipoandika hivi, "Back to Nigeria in November  I've done Lagos, I've done Calabar, & I'm Ambassador of the Cross River States) Performing Abuja this time!"  
Aliongeza pia "#iloveafrica …but you already know that!"
Haya kazi ni kwako fan wa Keri toka Tezee kujipanga kwenda Naija kushuhudia show yake....