Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Monday 21 January 2013

LADY GAGA AMSHIKA DANCER WAKE KALIO STEJINI!!

Kabla ya siku ya kuapishwa kwa Rais Barack Obama, kama ilivyokuwa mwaka 2009, wasanii kadha wa kadha wataperform siku hiyo! Mmojawapo ni Lady Gaga, wengine ni Beyonce atayeimba wimbo wa taifa, Stevie Wonder, Alicia Keys, Usher, pamoja na Smokey Robinson!

Macho na masikio ya wengi huko USA yapo kwa this controversial singer anayeonekana kama atarudia madudu yaleyale aliyoyafanya katika show ya tour yake jana Jumapili iitwayo "BornThis Way" ukumbini Staples Center. Gaga wakati akiwa stejini alionekana akimshika dancer wake kalio. Pamoja na tukio hilo vipo vituko vingine kibao. Check these pictures!












BEYONCE HAJAWAHI KUZIONYESHA PICHA HIZI!

Beyonce akikatiza kitaani night kali
Doleeeeee!
Hoiiiii!
Hakiombeki! Bey, Sollange and a Friend

Kunywa mwanangu! Bey na Blue Ivy

KIM KARDASHIAN ALA BATA IVORY COAST.

The reality star and Kanye West's baby mama Kim Kardashian hivi majuzi alidondoka nchini Ivory Coast for a few appearances. Kim K, 32 year old star mwenye ujauzito wa miezi minne alitokea katika private party moja huko Life Star Nightclub jijini Abidjan with her make up artiste.





 Kim Kardashian hupokea dola laki moja kwa kutokea kwa masaa machache katika Nightclubs akiwa USA, haijajulikana alichaji kiasi gani for this appearance and for the next ones!


IT'S ALL ABOUT MAKEUP!

Mpaka wajipige makeup ndio wanatokelezea. 

Kutokelezea bomba ukiwa na makeup haimaanishi wewe ni mbaya (utakapokuwa haujapakaa makeup), ila upakaji wa vipodozi huleta zaidi ule uzuri asilia hasa kwa mabinti. Ifuatayo ni list ya celebrities ambao bila makeup hali huwa mbaya ila wakitupia makeups, ni noma!


    Rihanna, bila makeup (kushoto), akiwa na makeup (kulia)

    Jessica Alba, akiwa na makeup (kushoto) bila makeup (kulia)

    Pamela Anderson, bila makeup (kushoto), akiwa na makeup (kulia)

Hawa wapige wasipige makeup bado wanatokelezea bomba!

    Beyonce

    Kim Kardashian

    Jennifer Lopez

    Ciara

    Jennifer Hudson

    Eva Longoria