Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Wednesday 10 April 2013

5 RICHEST HIP-HOP ARTISTES MWAKA 2013.

Jana Gazeti la Forbes la USA limetoa list ya wanamuziki matajiri zaidi duniani katika mziki wa Hip-Hop kwa mwaka 2013 na majina kama Jay-Z, 50 Cent, Diddy na wengine wali-top the list.




1. Sean”Diddy“Combs
Utajiri: $580 million.

 
2. Sean”Jay-Z“Carter
Utajiri: $475 million.


3. Andre”Dr.Dre“Young
Utajiri: $270 million.

4. Bryan”Birdman“Williams
Utajiri: $270 million.


5. Curtis”50 Cent“Jackson
Utajiri: $125 million.





RICK ROSS AOMBA RADHI KWA KUBAKA!

Maybach Music boss Rick Ross ameomba radhi jamii na fans wake kwa ujumla kutokana na mistari yake kutafsirika kama vile mtu anayebaka msichana. Rossay aliomba radhi kupitia akaunti yake ya twitter.
 
 ‘I don’t condone rapè. Apologies for the #lyric interpreted as rapè. #BOSS’.
 
Hii imekuja baada ya wanaharakati wanawake waliowahi-kubakwa wakiwa na mabango yao kwenda mpaka kwenye ofisi za Reebok huko New York ambao ndio wadhamini wa The Boss. Mistari yenye utata katika ngoma yake U.O.E.N.O inasomeka, ‘Put molly all in her champagne, she ain’t even know it/I took her home and I enjoyed that, she ain’t even know it’. Akimaanisha anawekewa molly (kilevi) kwenye shampeni ya demu bila yeye kujua. Anampeleka nyumbani kwake na kum-do bila yeye (demu) kujua.
 
Kweli raia wa USA wako makini!

USHAHIDI WA MIMBA YA KIM KARDASHIAN

Uvumi mwingi ulienea kuwa Kim Kardashian alikuwa na-fake ujauzito alioupata na boyfriend wake Kanye West. Sasa Kim ametoa picha zinazoonyesha tumbo lake kuwa lina kiumbe ndani yake na sio magumashi kama wadakuzi wengi wanavyodhani.