Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Thursday 31 January 2013

NDOA YA BRAD NA ANGELINA, MAY HII!



Brad Pitt na Angelina Jolie wamewataarifa watu wao wa karibu kuwa wiki ya mwisho ya mwezi May waiache free kabisa. Hii inatafsiriwa kuwa Brad na Jolie wako on thier preparation to tie knots. 
Ishara za ndoa hiyo:

    
Brad, 49, na Jolie, 37, wako katika marekebisho ya mjengo wao wenye thamani ya dola milioni 83, ‘Chateau Miraval mansion’, Kusini mwa Ufaransa ikiaminnka kuwa ndoa yao itafanyika nyumbani kwao!
 

 Msaidizi wa Angelina ameshatumwa kununua pete from the top Los Angeles jewellers Neil Lane.
Hii itakuwa ndoa ya pili kwa Brad Pitt baada ya ile ya kwanza na Jennifer Aniston, Brad na Angelina wana watoto 6:- Maddox, 11, Pax, 8, Zahara, 7, Shiloh, 6, na mapacha Knox and Vivienne, 4.


RAGGA DEE ANUNUA GARI LA AJABU!


Ni Lincoln Navigator, gari iliyotengenezwa mwaka 2011 inayomilikiwa na Daniel Kazibwe aka Ragga Dee, a local artiste and businessman in Kampala. Gharama yake ni dola milioni 85,000/=
Ragga Dee on his Lincoln Navigator
Sababu za kununua gari hii:
“Napenda vitu vizuri, siendeshi gari eti kwa sababu msanii au mtu fulani anaendesha. Nalipenda gari hili kwasababu lina nafasi ya kutosha, viti 7. Pia linakwambia tatizo lolote katika computer. Gari hili linakupa taarifa kiasi gani cha mafuta umetumia na yaliobaki, pia mwelekeo – unapokwenda na ulipo pia!


Tofauti na magari mengine ambayo inabidi uweke tracking system, lakini gari langu limetengenezwa moja kwa moja na satellite tracking system, making it impossible to steal!
Ni gari pekee lenye AC katika viti. Kiti pia kitaendana na kimo chako pindi utakapokikalia. Gari hili haliruhusu sauti ya ndani kusikika nje na nje kusikia ndani. Mfumo wake wa radio unaweza fananisha na public address system.

Usalama kwanza:
Ina mifuko 28 ya hewa (airbags) na head rests. Katika dashboard, kuna chombo kinachosensi kilevi! Pia kuna traction control, ukitoka nje ya barabara, traction control itakupa taarifa. Ina autolights and wipers. Giza likiingia tu taa zenyewe zinajiwasha, halikadhalika na wipers pindi mvua inaponyesha!


  
Lina options mbili, eitha 4WD au 2WD. Kama hautaki kuendesha kwa vikanyagio (pedals), unaweza endesha kwa switch. Hii husaidia hata kwa walemavu kuendesha bila shida.

Speed ni 260 miles kwa saa (388km kwa saa). 


Gari hili huwezi kulipimp, and if you try to, computer itakataa saying it is not in the right state to use", Ragga Dee./