Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Monday 22 October 2012

NEW MUSIC: BEYONCE FEAT. T.I - DANCE FOR YOU (REMIX)



NEW VIDEO: CHAPA LAPA BY NURU THE LIGHT FEAT. VEDASTO



FAMILIA YA SEBASTIAN MAGANGA WA CLOUDS FM YAPATA MGENI MWINGINE


Siku ya Ijumaa ya tarehe 19 ya mwezi huu familia ya bwana Sebastian Maganga ambaye ni mkuu wa vipindi at Clouds FM ilijaliwa kumpata mtoto wa pili wa kiume aliyepewa jina la Imani.


Hongera sana Seba na wife wako kwa kujipatia kidume....


IT'S ON .. 2012 REDDS MISS TANZANIA TALENT COMPETITION KUFANYIKA TAREHE 26 OCTOBER AT GIRAFFE OCEN VIEW HOTEL



We all know that shindano la kumsaka mlimbwende wa urembo hapa nchini maarufu kama Miss Tanzania linakaribia kufikia kilele siku si nyingi ambapo kabla ya grand finale zake hutanguliwa na mashindano mbalimbali mojawapo likiwemo ni lile la kumsaka mtembo mwenye talent.
This time around Lino International Agency kwa kushirikiana na Giraffe Ocean View Hotel wanakuletea 2012 Redds Miss Tanzania Talent Competition itakayofanyika mnano tarehe 26 October 2012 siku ya Ijumaa pale Giraffe Ocean View Hotel.
Tickets za competition hii zinapatikana  Shear Illusions ya Mlimani City, Giraffe Ocean View Hotel kwa shilingi 15,000 kwa watakao wahi huku watakaonunulia malangoni watazipata kwa shilingi 20,000.
Watch out this space for ore infoz......