Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Sunday 23 June 2013

JAY Z ATOA ALBUM KWA KUSHIRIKIANA NA SAMSUNG!

Katika kuhakikisha kila raia anaifahamu na itakapotoka ainunue albam yake itakayouzwa kwa jina la “Magna Carta Holy Grail”, Jay Z a.k.a Hovva alichukua time ya kutosha katika break ya mechi ya  fainali ya kikapu ya NBA game 5 kuitangaza. 


Kwa kushirikiana na Samsung watuamiaji milioni 1 wa Samsung Galaxy 4 watapata album hii bure yenye jumla ya mgoma 13, na hii ndio list kamili ya ngoma hizo:-
1. Picasso Baby
2. Heaven
3. Versus
4. Tom Ford
5. Beach Is Better
6. FuckWithMeYouKnowIGotIt
7. Oceans
8. F.U.T.W.
9. Part II (On The Run)
10. BBC
11. La Familia
12. Jay-Z Blue
13. Nickles & Dimes


Kwa mashabiki wasiotumia simu za Samsung wataipokea album hii July 7. Hakuna artiste yeyote aliyetajwa kama collaborator na hilo ndilo limeshangaza raia wengi na swali limebaki je, ngoma zote hizi Jay Z kazifanya pekeyake?

KIM KARDASHIAN AFURAHIA KUMNYONYESHA MTOTO WAKE.

Kim Kardashian AFURAHIA KUMNYONYESHA NORTH WEST

Mwana dada Kim au Mbabs wa Kanye west anasema anafurahia zaidi anavyo mnyonyosha mtoto wake North West hadharani na hii ni tofauti kabisa na kile alicho kisema hapo nyuma katika mwaka wa 2010 kuwa hakufurahishwa na mama mmoja aliyekua akimnyonyesha mwanae Restaurant na kumbadilisha nepi chafu. lakini kwa sasa Kim huyo huyo alikua akipinga  ndio anafanya maswala ya kunyonyesha hadharani kwa ukamilifu.