Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Wednesday 26 June 2013

FEZA KESSY ASHIKWA PABAYA




Kwa wale wafuatiliaji wa Big Brother Afrika A.K.A BBA wanaweza kukumbuka siku Feza alipo ingia mjengoni alisema yeye hataingia kwenye mahusiano na wanaume, katika kipindi atakach kuwa Mjengoni lakini kadri siku zinavyo kwenda mambo ni tofauti kabisa na ahadi aliyo toa hapo Mwanzo.

Kwa sasa mwakilishi huyo wa Tanzania Mapenzi MOTO MOTO yamemshika kwa kijana wa Botswan ONeal ambae ni mtangazaji wa Radio na Tv huko Botswana maana kadri siku zinavyo kwenda mapenzi moto moto yanaongezeka mambo ya madenda ma hugs kwa kwenda mbele kana kwamba hayo hayatoshi na sasa ndio wanaanguka pamoja kwa Bed

Swali ni kwamba siku na wenyewe  wakipata nafsi ya ku spend pamoja kwenye private room ua BIG nao watavunja Amri ya sita ? kwani tulimshuhudia Bety wa Ethopia akiwa mshiriki wa kwanza ndani ya Mjengo akila raha na BOLT kutoka SIERRA LEON na baadae alifuata Mtanzania Mmarekani Nando alivyo kua akiomba mambo kwa Selly kutoka GHANA walipo kua kwenye chumba hicho maalumu cha BIG na hatimaye SELLy alikonga moyo wa NANDo kwa kumpa mambo

       Feza Kessy