Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Sunday 24 February 2013

KANYE WEST AMDIS JAY Z!

Katika hali isiyo ya kawaida, baba kijacho Kanye West amemdis rapper mchizi wake, baba Blue Ivy, Jay Z. Pamoja na urafiki wao na hata kufanya album ya pamoja iliyowaletea tuzo kibao zikiwemo za grammy na BET bado West hakusita kumtupia dongo Jigga!

Ni katika show yake ya jana huko London, England ambapo Kanye West alimchana live Jay Z aliposema, “Nina mapenzi na Hov, lakini mimi sio shabiki wa 'Suit & Tie'”. 'Suit and Tie' ni ngoma ya Justine Timberlake featuring Jay Z.

"I got love for Hov, but I ain't f--king with that 'Suit & Tie.'"

Perhaps someone is just a little jealous.
Angalia video hapa:-

MTOTO WA KANYE NA KARDASHIAN JULY HII!


Pregnant reality star Kim Kardashian pamoja na rapper boyfriend wake Kanye West  wanatarajia kupata mtoto wa kike! West, 35, ndio ameonekana kuwa na furaha zaid5  kwani muda wote alikuwa anatamani kupata mtoto wa kike.


Alipokuwa akihojiwa katika show ya Jimmy Kimmel Kim jana usiku, Kardashian alizumngumzia Kanye West kama mtu anayejua na anayekwenda na fashion na yupo so excited na anxious kumpata binti!

Habari za uhakika ni kuwa Kanye West na Kardashian wanatarajia mtoto wao wa kike ifikapo mwezi July!