Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Tuesday 5 March 2013

JUSTIN BIEBER KAMA MZALAMU VILE!

Justin Bieber amewaomba radhi mashabiki wake kwa kuchelewa kupafomu katika show yake huko London kwa dakika 40, jana usiku!


Mashabiki wengi vijana, watoto pamoja na wazazi wao waliondoka ukumbini O2 Arena wakiwa wamejawa na hasira na gadhabu kwa kutomwona JB! Bierber alijitetea baadae kuwa alichelewa kupiga show kutokana na matatizo ya kiufundi na hajachelewa kuanza show kwa masaa 2 kama ilivyodaiwa!
Viti vingi vikiwa tupu baada ya kundi kubwa la mashabiki wa Bieber kuondoka







2FACE KUFUNGA NDOA MWEZI HUU!

Kama kuna tukio kubwa na la kusisimua linalosubiriwa kwa hamu kubwa nchini Nigeria na Afrika basi ni hili la ndoa ya 2face Idibia na Annie Macaulay. Japokuwa 2face na Annie tayari ni mme na mke kisheria lakini bado kuna ndoa ya kimila na ile ya kanisani. 

Invitation Card
Tarehe 8 Machi ndio imepangwa rasmi kufanyika ndoa ya kimila huko Nigeria Mashariki (nyumbani kwa Annie) na ile ya kanisani itafuata tarehe 23, Machi huko Dubai!

And it is strictly for invite!

Gauni la Annie limedizainiwa na Vonne Couture!