Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Wednesday 30 January 2013

"D'BANJ ANAABUDU SHETANI"

Si maneno ya tztopmodel bali ni ya Majek Fashek, nguli wa muziki wa Reggae huko Naija na Afrika. Mkongwe huyo amefunguka na kumwanika kweupe The G.O.O.D Music artiste Dapo Oyebanjo a.k.a D’ Banj kuwa ni mfuasi safi wa dini inayoabudu shetani, The Illuminati. 

Majek Fashek aliwahi kushika game ya Naija kwa ngoma zake kama Send Down the Rain, So long na nyingine kadhaa, na alinukuliwa hivi alipofanya interview na NET, 

“I like Wizkid and 2face, they play good music. I don’t like the other boy called D’Banj, those ones that went to join Illuminati. Can you go and sell your soul to devil because you want to be famous. I don’t even like his music anyway”

Majek Fashek na D'Banj
Baadhi ya watu na wasanii maarufu waosemekana ni waamini wa dini hiyo ni pamoja na Obama, Kanye West, Jay Z, Beyonce na Rihanna. They are all black right!

D'Banj, Kanye West na Jay Z na ishara ya Illiminati
Jaz Z & Kanye West

RICK ROSS SASA ULINZI 24/7


Unaweza kumuita the luckiest rapper in the world kwa sasa baada ya kunusurika na tukio lililohusisha gari lake aina ya Rolls Royce kumiminiwa risasi kama karanga na bado akatoka salama salmini! Kwa sasa Ross aka Ricky Rozay ameamua kuwekea ulinzi masaa 24 siku zote 7 za wiki ili kujilinda na lolote litakalotokea huko mbeleni.

Rolls Royce ya Rozay baada ya tukio la kutupiwa risasi

 “Huko nyuma Ross alikuwa na kawaida ya kuweka ulinzi kwa ajili ya concerts na mitoko mikubwa tu, Lakini sasahivi ameamua kuweka a full-time security detail”, alisema mtu wa karibu sana na Ross. 
Rozay