Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Wednesday 30 January 2013

RICK ROSS SASA ULINZI 24/7


Unaweza kumuita the luckiest rapper in the world kwa sasa baada ya kunusurika na tukio lililohusisha gari lake aina ya Rolls Royce kumiminiwa risasi kama karanga na bado akatoka salama salmini! Kwa sasa Ross aka Ricky Rozay ameamua kuwekea ulinzi masaa 24 siku zote 7 za wiki ili kujilinda na lolote litakalotokea huko mbeleni.

Rolls Royce ya Rozay baada ya tukio la kutupiwa risasi

 “Huko nyuma Ross alikuwa na kawaida ya kuweka ulinzi kwa ajili ya concerts na mitoko mikubwa tu, Lakini sasahivi ameamua kuweka a full-time security detail”, alisema mtu wa karibu sana na Ross. 
Rozay
 

No comments:

Post a Comment