Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Wednesday 23 October 2013

tztTZTOPMODEL: WASHIRIKI NA WALIOTEULIWA - DAR TRH 20 OCT' 2013


Washiriki
Mmoja kati wa washiriki waliofanikiwa kuingia katika camp ya kitaifa ya TzTop Model
Huyu pia aliingia camp ya TzTop Model

Saturday 19 October 2013

TANZANIA TOP MODEL: USAHILI DAR NI KESHO TAREHE 20/10/2013

Baada ya kuzunguka mikoa kadhaa ya Tanzania ikiwemo Arusha, Moshi na Dodoma, sasa tunarudi jijini Dar Es Salaam. Usahili utafanyika kesho tarehe 20 Octoba, 2013. Mahali ni Lamada Hotel, Ilala kuanzia saa 4 asubuhi. 

Huu ni wakati wako wewe msichana wa Kibongo uliyekuwa na ndoto za muda mrefu kupitia modelling ndani na nje ya Tanzania. Time ndio hii. See you there bila kukosa! 

Arusha
Dodoma
Moshi

Wednesday 9 October 2013

MCHEZAJI WA MAN UNITED NA ENGLAND KUPANDA MLIMA KILIMANJARO

Kwa muda wa siku 10, aliyekuwa mchezaji na kepteini wa Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza, Bryan Robson atapanda Mlima Kilimanjaro akiambatana na Kevin Moran na timu ya watu wa watu 25. 

Bryan Robson atapanda Mlima huu mrefu kuliko yote barani Afrika katika kuchangisha Mfuko wa Manchester United Foundation kwaajili ya watoto walemavu!

Bryan Robson anaumwa kansa ya koo kwa miaka miwili sasa.






TZ TOP MODEL: USAHILI DOM DODOMA