Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Saturday 2 February 2013

BRAND NEW ALICIA KEYS


Mama wa Egypt, 2, Alicia Keys yupo busy hivi sasa akitengeneza mtoko wake mpya, ‘Brand New Me 2’. Alicia, 32, amewashirikisha mme wake Swizz Beats na shosti wake Jada Pinkett Smith, mke wa Will Smith.
Keys, Beats na Pinket
Si mara ya kwanza kwa Pinket kushirika katika video ya Alicia, alifanya hivyo mwaka 2008 katika video ya ‘Superwoman’ akiwa na Jaden, mtoto wake!
Pinket on set
 Weka mziki pembeni, Jumatano iliyopita Alicia Keys alikuwa zake Ufaransa aki-promote movie yake mpya, ‘The Inevitable Defeat of Mister and Pete’ ambayo ameitengeneza mwenyewe na kuitengenezea wimbo. Pia Keys alihudhuria uzinduzi wa simu mpya ya Blackberry yeye akiwa kama balozi wake. Stay tuned for the video!
Pinket & Alicia

JUSTIN BIEBER MVUTA BANGI


‘Baby singer’, Justin Bieber amedakwa tena anavuta sigara haramu, bangi! Picha kadhaa za JB inasemekana zimeshasambazwa katika mitandao mbalimbali ya kijamii zikimwonyesha Bieber, demu wake na mshkaji wake Lil Ze wapasiana vipisi vya bangi huko Los Angeles, juzi Alhamis! 
Bieber na kijiti mkononi
Mwezi uliopita JB alipigwa picha akivuta ganja akiwa na rapper Lil Twist katika hotel party huko Newport Beach. 

HUYU NI NANI?


REAL LIL WAYNE!

Ulikuwa na urongo mtupu kwamba Lil Weezy kanyoa dreadlocks zake. Kumbe memba mwenzake wa YMCMB Mack Maine alizi-edit nywele za Wayne kwa kutumia social networks! Oh my Gush!!
Real Lil Wayne





DIGITAL LIL WAYNE!


Weezy anajulikana duniani kote kwa mwonekano wake wa dreadlocks ndefu, hiyo ilikuwa ‘analogia’. Lakini sasa Wayne ana mwonekano mpya na hii ni baada ya kunyoa rasta zake, hii ndio digitali! Wayne na Big Boi the MaddenBowl XIX walikuwa wakipiga show ya kitaani, New Orleans katika hoteli ya Bud Light Hotel na baada ya show Big Boi alianika picha hizo inayomwonyesha Lil Wayne mpya!