Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Monday 25 February 2013

GOLDIE HARVEY AZIKWA LEO!


Siku 10 baada ya kufariki dunia February 14 katika umri wa miaka 30, kutokana na hypertension masaa machache alipokuwa anarudi kutoka Los Angeles alipokwenda kushuhudia tuzo za Grammy Goldie Harvey amezikwa leo asubuhi katika makaburi ya Ikoyi.

 
Mazishi ya Goldie yalianza saa 4 asubuhi na kushuhudiwa na watu wachache wakiwemo familia, ndugu na marafiki wachache. Hakuna chombo chochote cha habari kilichoruhusiwa kuripoti tukio hili!

Andrew Harvey alihudhuria safari ya mwisho ya mke wake Goldie na alikuwa na ujumbe huu:-

"Susan, you walked into my life. It was like God sent you as fresh breath. I still remember your response to my first love message. You said, ‘Love killed Romeo, sent Diana to an early grave and killed Jack on the Titanic, forget about love, just have friendship and live long.
Over time our love grew a depth I have never known. You were the best years of my life, your smile, your desire to live your dream". 

Andrew Harvey




RIP SUSAN GOLDIE HARVEY