Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Saturday 13 October 2012

STL AACHIA AUDIO NA VIDO YA "SHUT IT DOWN"


Stella Nyambura Mwangi alias STL ambaye ni rapper wa Kenya anaefanyia shughuli zake za kimuziki nchini Sweeden ameachia single mpya na video yake kwa jina la “Shut It Down‘.
STL ambaye wiki chache zilizopita aliwabariki fans wake kwa ngoma ya "Stella Stella Stella" aliwahi kuachia ngoma za “Lookie Lookie“, “Take My  Time” na “Haba Haba“  kutoka kwenye album yake aliyoitoa mwaka jana kwa jina la Kinanda.
Single hii ni ya pili kwa mwanadada STL kutoka kwenye album yake mpya ambayo bado haijajulikana jina na pia haijajulikana officially itatoka lini.Ukiachilia mbali wimbo huo pia ngoma ya “Bad as I wanna be“ itakuwemo ndani ya album hiyo. 
 Video ya ngoma hiyo hii hapa;

YOUNG JEEZY AZUNGUMZIA SABABU YA KUGOMBANA NA RICK ROSS KWENYE BET HIP HOP AWARDS 2012


Baada ya rapper Young Jeezy ku-release single yake ya "Get Right" mchizi alipata interview kwenye radio station ya  Power 106 Fm ambapo ndani yake alipata fursa ya kujibu swali aliloulizwa about beef yake na Rick Ross wa MMG iliyotokea backstage wakati wa BET Hip Hop Awards 2012.
Unajua ni nini alichokijibu..watch the video here