Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Thursday 21 February 2013

KIM KARDASHIAN SI LOLOTE

Ni maneno ya mwigizaji filamu Ghana, Juliet Ibrahim. Juliet amechukizwa na mkwanja wa dola 500,000 aliovuta Kim Kardashian kwa kutokea on stage tu, tena chini ya dakika moja katika concert ya ‘Love Like A Movie’. Kupitia istagram yake, Julie aliandika, 

“Sijajua kwanini alilipwa kiasi kile cha pesa plus gharama ya kumsafirisha. Huku akiperform for oonly sekunde 45 tu! Ni wakati sasa wa ku-appreciate vipaji vyetu vya Africa. Uzuri wangu ni wa asili na sio wakufanya upasuaji”

Pamoja na hayo aliyoyasema Julie lakini bado kuna sababu kuu za Kim K kudondoshwa Nigeria. Moja ikielezwa kuwa ni sababu ya kibiashara zaidi. KK akifahamika zaidi duniani kwa kuwa na wafuasi milioni 15 katika twitter na ‘likes’  milioni 12 katika facebook. Endorsements kadhaa plus super producer boyfriend. Je kama Julie angehost show ile angeweza kuvutia watu locally na internationally? Obviously ‘no’!


HAPPY BELATED BIRTHDAY RIHANNA!


Pengine hii ndio moment ambayo Rihanna a.k.a Riri alikuwa anaisubiri kwa hamu sana. Nayo ni kuspend time na her very very beloved boyfriend Chris Brown. At last she got him. Kwa pamoja wakakwea pipa mpaka visiwa vya Hawaii na kuspend siku nzima ya jana wakitanua na kula bata, ‘pengine hata kuvuta bangi’. Ni siku ya kuzaliwa kwa Rihanna, miaka 25 sasa! 



Inasemekana kuwa eti jana Brown alikuwa adondoke goti na kumuuliza  Riri, “Will you marry me?”
So far nothing of that kind has been reported!