Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Wednesday 22 August 2012

SHARO MILIONEA AVUTA MKOKO MPYA WA MILIONI 15


 

NEW VIDEO: RADIO AND WEASEL-CANT LET YOU GO

HAWA NDIO MA DJ 10 BORA KUTOKA AFRIC




1. Dj Waxxy
Dj Waxxy started disc jockeying in 1990, na ameshawahi kufanya kazi katika redio stations mbali mbali kama Ray Power 100.5, Rhythm 93.7 , Yfm 99.3 and Metro fm kabla ya kuamia South Africa. He is currently  a Vj with Channel O, Africa magic And SAA Flight Entertainment. Dj Waxxy ameshafanya kazi na international artist kama  Missy,Jay sean, Akon,Omarion, Marcus Houston, Sean Paul, Blu Cantre, Junior Reed, Brick n lace, Bow Wow, Busta rhymes, P Sqaure, Mo Hit Allstars and many more. He is currently working on his mix tape and also on world tour.

2.Black Coffee
Nathi  Maphumulo alias “Black Coffee” ni Dj anayetoka kwenye mikoa ya Mashariki ya Afrika Kusini, Kwazula Natal na the Eastern Cape, akiwa mmoja wa watu wanatangaza utambuzi wa matukio ya kitamaduni ili kuleta maendeleo na heshima kwa watu. Considering his meteoric rise to fame, it would be easy to stereotype Black Coffee as just another black diamond, a BEE beat magnet out to mine the insatiable upwardly mobile urban house-party market.But as he proved on his South African Music Award-winning album Home Brewed, this DJ and producer defies convention.

3. Dj Caise
Introducing one of UK’s most exciting and innovative Nigerian young entertainers to ever grace the turntables,Pia ameshaweza kushinda tuzo nyingi za UDj kwa kuweza kutumbuiza katika kwenye nightclubs za kifahari za nchini Uingereza na Nigeria. Dj Caise ana mitindo ya kipekee katika swala zima la UDj na ameshafanya kazi na wasanii kadhaa katika sekta ya music kama Dbanj, the Mo hits All stars, P-Square, Styl-Plus, Olu Maintain, Ikechukwu, Sasha P ,Sauce kid.
Dj Caise ana mvuto na miziki ya Hip hop, R’n'B, Funky house, Bashment, Old school, nija jams.Trained at the world renowned point blank london music college his style is very versatile and eclectic unlikely to hear the same mix or repeat a song during a gig. Mixing style varies from cutting to blending with a hint of scratching also showcases his incredible skills and knowledge of the music every step of the way.

4.Dj Jimmy Jatts
Jimmy Adewale Amu, popularly known as DJ Jimmy Jatt, one of Nigerian’s hottest DJs, was born in Lagos Island. He grew up listening to a lot of blues, soul, jazz and indigenous genres, like juju, apala, fuji, highlife, funk, R&B, pop, disco and hip pop. He happened to collect a lot of early rap albums from the 70′s and 80′s, and developed an interest in hip-hop and rapping.
Jimmy Jatt alianza kazi ya Burudani kama rapa, akijulikana kwa jina la Master J.Alianza kufanya kazi za Demos huku akiwa anatafuta studio ya kuweza kurecord na matokeo yake hakufanikiwa kupata studio ndipo ndugu zake walipomsaidia na kuanza kazi za UDJ. Ndugu zake hao pia walimsaidia kupata studio iitwayo (JATT studio) and he eventually changed his stage name to DJ Jimmy Jatt, in honour of his brothers, who were called Jimmy, Amu, Tunde, and Tayo. The studio was located on strategic Odo street, which helped him reach an eager audience who took to his “deejaying” skills and hip-hop in general.
Dj Jimmy Jatt anaheshimiwa sana nchini Nigeria kwa kuweza kutangaza muziki wa HIP HOP tangu alipoingia kwenye fani ya muziki kwenye miaka  ya 90 mpaka sasa .At a point in Nigeria the only accepted forum for hip hop artistes to have themselves groomed, whilst engaging in lyrical battle was the ROAD BLOCK street Canival pioneered by Dj Jimmy Jatt. Setting up speakers, turntables, amplifiers and microphones, young lads swarmed his studio like bees unto nectar begging for a life-line. The likes of Junior and Pretty, Daddy Fresh, Daddy Showkey, DJ Abdullah, El Cream, Ruff, Rugged and Raw and Aladin (Formerly known as Chuck Da Bone), all grabbed the microphones, lighting up the stage, entertaining the crowd and basically having fun. No one had the slightest idea that Rap music was just on the brink of blowing up in Nigeria.

5.Dj Black
With a a BA in Mass Comm. (UG/G.I.J) ,a diploma in Public Admin (UG), and the Host DJ for all major shows in Ghana including the Ghana Music awards ; he is an ideal role model for the youth.He has won Rothmans Best DJ in West Africa 2001, 2009 Red Carpet Awards Independent Artist and DJ award winner.
DJ Black founded Blaqbone International together with partners Schwarz Bless’on (Radio Cardiff) and Notse A. Amarteyfio in 2005 and manage artistes and DJS such as Dretonio, Philo, E-dBle, etc.In 2010, DJ Black formed TOONTOOM the brand. With Toontoom Agency Studios at Kokomlemle, DJ Black has expanded the brand as a voice over artiste and a mentor.In 2011, DJ Black performed on Big Brother Africa:Amplified and won the Best Radio DJ in Ghana adding on to 2010′s Africa’s NO 2 Top Radio DJ of the year and the 2010 Red Carpet award from Sniper Squad DJS.
6. Dj Robbie Rob
Duma FM’s Hip Hop giant Robbie Rob larger than life persona is unmistakable. This resident Gaborone News cafe DJ rocks every Friday and Saturday nights alongside his long time friend DJ Shimrock.His illustrious broadcasting career dates back to campus radio at the University of Cape Town back in 1996.Between 1997 and 1999, Robbie Rob built a name as one of Cape Town’s most devoted, most sought after DJs.
Over the years The Robster has played alongside the likes of DJ Fudge and DJ Yass from France and American DJ/Producer Quentin Harris, one of the most influential players on the House scene right now.In Botswana, Robbie Rob enjoys cult status amongst party people all across the country.No DJ on the Botswana scene at the moment can claim to have enjoyed as much sustained success as Robbie Rob aka Double R.
The bookings came in quick upon Robbie Rob’s arrival in Botswana back in 1999, and more than 10 years later they haven’t stopped.Robbie Rob is one of Botswana’s bona fide international DJ talents, having travelled as far as Malaysia and the United States on his travels as a DJ.In June 2008, Robbie Rob’s first ever mixed House compilation was released under internationally acclaimed label Soul Candi Records from South Africa.Gorilla Grooves Volume 1 is Botswana’s first ever authentic mixed House compilation.

7. Dj Malick
This is none other than the energetic, fun and super cool DJ Malick. The talented Malawian is the host of Gowelo Beats and Crush Grooves on Power101 FM and admits to sleeping, eating and breathing music.Whenever he is on the one’s and two’s, he likes to keep the crowds on their feet and all sweaty.According to his public relations office, the thing that he enjoys most about his job is getting to mix at some of Malawi’s hottest night clubs and entertainment joints.

8. Dj Kaytrixx
Award winning DJ Kaytrixx is one of the most successful DJs in the country and also among the most paid when he performs at an event. Having started DJ-ing about 3 years ago he is currently working at KTN (Kenya Television Network) as a co-host and Live VDJ of an award winning TV show called “STR8 UP LIVE” which airs every week day and at Homeboyz Radio as a DJ and a Radio Presenter for his show called “THE HANGOVER” ,which airs every Saturday afternoon. You can also catch him on Clouds FM in Tanzania every Friday evening,and on Contact Fm in Rwanda every Friday evening.His former employer was Code RED entertainment limited.

9. Dj Fetty
The first lady of Tanzania’s deejaying scene, DJ Fetty is one great Tanzanian deejay.Born Fatma Hassan, the musical lady started deejaying in 2006 as an employee at Clouds Fm radio station in Dar-es-salaam on a very popular afternoon show called ‘Dr Beat’.
She started out playing mostly hip hop, R&B, Bongo Fleva and a little bit of pop. While on the show she joined Clouds FM DJ group collectively known as Nyuki DJ’s as part of a phenomena show at the time called ‘Saturday Night Live’. The show saw a group on Tanzania’s finest including Mwanza, Tanga and Dodoma performing in different regions every weekend. It was at this time that she started gaining popularity as a force to be reckoned with.For three years in a row, DJ Fetty has performed at the popular yearly musical event ‘Fiesta’ and she has also previously been part of the MTV VJ search in Arusha.

10. Dj Crème De La Crème
Dj Crème de La Crème has been deejaying professionally for about 5 years,and has been able to master the science of entertainment. He has been able to tap into the business spectrum of entertainment.His other specialities are in Mceeing, Video Mixxing and Editing and Creative Writing.
Source:Mtandao wa vibeweekly.com

NEW VIDEO FROM BRANDY FT. CHRIS BROWN- PUT IT DOWN

KISS THE RING PROMO PART 3-DJ KHALED


Kiss The Ring Promo Tour pt3 from Dazed One on Vimeo.

CHECK OUT DJ KHALED ANAKIPIGA PROMO YA KISS THE RING


DJ Khaled Promo Tour Part.2 from Dazed One on Vimeo.

NEW SONG FROM INSPECTOR HAROUN FT GANGWE MOBB- MBOGA SABA

DIAMOND AFANYA NGOMA NA J MARTIN

 
 
Msanii wa Bongo Fleva Diamond amefanya wimbo Mj Records ambao atamshirikisha J Martins kutoka Nigeria .Wimbo huo kwa sasa unafanyiwa Final Mixing na Marco Chali na verse ya kwanza na Chorus ameshafanya Diamond na Dancer wake  Mose Iyobo kwenye chorus .Mose Iyobo ni Dancer wa Diamond anaetaka kuanza kuimba na tayari ameshaonyesha uwezo wake kwenye nyimbo hio katika chorus . Utengenezwaje wa wimbo hu hauta chukua muda mrefu sana kwani tayari J Martins anasubiri wimbo huo na yeye aingize sauti yake .Skiliza Power Jams kwa updates kuhusu wimbo huo.

Pia Jumatano hii Diamond anaenda Marekani kufanya show Washington DC na hii itakuwa mara ya kwanza Diamond kwenda kufanya show Marekani. Kwenye safari hii ata safiri na Dancer wake wote wa nne , na mzungumzaji wake .Diamond atafanya show kwenye mkutano mkubwa unaofanyika Marekani na Ombi la watu watakao kuwa kwenye mkutano huo ni kuwa Diamond ndio msaani waliomtaka afanye burudani.

ALICHOKIANDIKA ZOLA D LEO KWENYE FACEBOOK WALL YAKE BAADA YA PAMBANO LA JUZI HIKI HAPA



Mambo vipi ndugu zangu me nipo poa wala sijaumia nipo mzuka kama kawa, kutokana na game ya juzi mimi na Mchumia Tumbo.











Kikubwa kilichonikwamisha ni ring ilikuwa imejaa sana maji na matope,tokea game za utangulizi watu walikuwa wanaanguka tu hovyo kwa wale wanaojua boxing na sheria waliona kitu kilichotokea ni sawa sawa kama tulikuwa tunapigana kwenye swiming pool na mimi nimechelewa kufika pale Mchumia Tumbo alikuwa amewai kufika mapema na ameshausoma uwanja kama unateleza mimi nilipofika kwenye ring nikamwambia refa kama ring inateleza akaniambia pigana hivyo ivyo kosa langu kubwa nilipomfuata kwenda kumshambulia Mchumia Tumbo niliteleza na kukutana nae then nikaenda chini, ndio maana yeye alikuwa amesimama sehemu moja tu na mimi ndio nilikuwa namfuata kumshambulia wakati naenda kumshambulia ndio nilikuwa nateleza na kukutana na ngumi yake ni bora kama angenipiga seem yenye mandalizi mazuri ningekubali si ni sport coz asiekubali kushindwa sio ...mshindani ila sio pale kwenye matope game imeandaliwa kienyeji tu ubingwa wa tz unafanyika kwenye matope sijawai kuona ndio maana ngumi za tz aziwezi kufika popote,nilikwenda kupigana sio sababu ya kupata pesa no nilipigana kama mimi ni mwanamichezo,ila asante sana kwa wale fans wangu wote walionisurport tokea mwanzo, boxing ni mchezo wa upendo na nidhamu sana mimi ni mpiganaji na hii sio game yangu ya kwanza kupigana nitaendelea kupigana mwanzo mwisho wala sikatishwi tamaa speed yangu ni ile ile tu,na game yangu dhidi ya mchumia tumbo itarudiwa sponser naomba wajitokeze tupigane sehemu poa na tuonyeshe sport tena niwape raha fans wangu kama game zangu za mwanzo sio game ndani ya swiming pool tupo pamoja sana ndugu zangu kushindwa sport sio kushindwa maisha ni ujanja wa akili tu tupo pamoja sana wanajeshi wangu, am out