Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Sunday 19 August 2012

RAPPER KEKO KUFANYA KAZI NA MWANAFA PAMOJA NA FID Q




We all know rapper  wa kike kutoka nchini Uganda Keko yuko jijini Mwanza Eid hii atakapokuwa akiwasha moto ndani ya hoteli ya Star Max.

Singer wa "Make You Dance"  ambaye hii ni mara yake ya kwanza kukanyaga ardhi ya Taznania amesema pamoja na kuja Mwanza tayari yupo kwenye mazungumzo na MwanaFA kwa ajili ya kufanya ngoma pamoja. ‘I am big fan of Mwana FA we are actually working out something as we speak . I am looking forward and hopefully bumping to Fid Q when I am in Mwanza, ” amesema.

Ameongeza kuwa kama kuna promoter yeyote wa Dar es Salaam ambaye angependa kufanya show naye nafasi ipo wazi.