Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Friday 14 September 2012

CHECK OUT BEHIND THE SCENE YA VIDEO YA 'STELLA STELLA STELLA' TA STL

We all know STL hivi majuzi ali-release video yake ya "STELLA STELLA STELLA" ambayo inauonesha staright u-bad gal wake.
Check out ilivyokuwa......

Picture 13

 Picture 7

Picture 15

Picture 12

Picture 14

PICHA YA UTUPU YA STL HII HAPA


Kweli STL kaamua kuwa 'bad girl' kama alivyoimba kwenye ngoma yake ya "Bad As I Wanna Be".
STL ambaye jina lake halisi ni Stella Mwangi ameonesha u-bad gal wake baada ya kupiga picha ya utupu.Picha hiyo imenogeshwa na maji yanayotiririka mwilini mwake.

NEW TRACK: ANETH KUSHABA - I LIKE IT MASTER


NEW VIDEO - LORD EYEZ FEAT. JOH MAKINI

WATAKA KULA BATA KWA RAHA..SOMA USHAURI WA NONINI


Je wewe ni party animal?and wajua jinsi ya kula bata bila matatizo..soma advices 10 za Nonini hapa.....
1. Kumbuka sio lazima utumie alcohol or other drugs to have fun.
2. Kula poa kabla utoke keja, sawa. A full stomach slows the absorption of alcohol.
3. Ka unakata maji, kunywa mdogo mdogo. Don’t let others top up your drinks and go for low alcohol options wherever possible. Na ka wewe si mtu ma shots, jo usijichoche.
4. The best way to avoid drug-related problems is not to use at all. If you do, make sure you know what you’re taking and find out how to reduce the risks of overdose or injury. Kisha ambia beste zako unatumia nini ndio incase of emergency ambulance ikamu waulize, "Ametumia?" Watu wanajua what you used sawa.
5. Trust your own judgement. Don’t let peer pressure sway you into doing anything you don’t want to do. Fuata nafsi yako.
6. Kuwa radar na dunda na mabeste una-trust.
7. Take condoms with you if you think you might end up having sex. Na usiweke tu kwa mfuko, tumia.
8. Don’t get into a car with a driver who has been drinking. Panda taxi.
9. Remember that your judgement may be impaired if you’ve been drinking or taking drugs. Don’t take risks you may regret such as diving into water if you don’t know how deep it is or fooling around near swimming pools. Ubabini…mchoree.
10. Leave for somewhere safe if you feel unsafe at a venue or party.

CHORUS GAL WA "SIHITAJI MARAFIKI" YA FID Q AJA NA VIDEO YA "familia YANGU"

Yvone Mwale

Kama hujawahi kuisikiliza ngoma ya "Sihitaji Marafiki" ya Fid Q aliyomshirikisha Yvone Mwale toka nchini Zambia then huna haja ya kubishana kuhusiana na uwezo mwanadada huyu.
Baada ya Fid kumtambulisha kwenye limelight ya Bongo mwanadada alikaa akatulia akachora ngoma inayoitwa "Familia Yangu" iliyorekodiwa ndani ya  Caravan Records.
Enjoy her  video....


REDSAN AUNGANA NA PREZZO NA JAGUAR KUMPIGIA CAMPAIGN PM ODINGA


Unakumbuka picha ambazo zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii last week zilizokuwa zikimuonesha Raila Odinga ambaye ni Waziri Mkuu wa Kenya akiwa na Redsan ambaye ni dancehall sensation? 

PM Odinga alipokutana na Redsan

Well, details za meeting yao zimegundulika.
Redsan ni msanii mwingine kuwekwa wazi kumpigia campaign Odinga. Redsan atakuwa na kazi ya kuwaomba facebookers na tweeps kumpigia kura Waziri Mkuu huyo kwenye chaguzi zijazo.
Redsan anaungana na Prezzo na Jaguar kum-support Odinga.
Who is next?

DNA MAHAKAMANI


Rapper DNA ambaye aliibamba vya kutosha music scene ya Afrika Mashariki kwa ngoma yake ya "Banjuka" atafika mahakamani siku ya Jumatatu kwenye case aliyoishitaki bank maarufu huko Kenya kwa kitendo chao cha kutumia parts za track hiyo kwenye tangazo bila ridhaa yake.

DNA anataka alipwe kutokana na hasara ambazo bank hiyo imemsababishia kwa alichokiita 'overstepping on his patents'.Pia DNA ana-claim kuwa kampeni ya bank hiyo ambayo inawalenga vijana,  inawafaidisha sana wao kupitia wimbo wake huo.Hata tittle ya campaign hiyo inajina la wimbo huo wa DNA.


CHECK OUT ABS ZA PETER WA P SQUARE

KANYE WEST AONGOZA KWA NOMINATIONS ZA 2012 BET AWARDS




Nominees wa 2012 BET Hip-Hop Awards wametangazwa.
Licha ya mwaka jana kutokufanya solo album toka mwaka 2010, Kanye West amaeonesha jinsi gani anavyoi-run rap game baada ya kutajwa mara nyingi kwenye awards hizo akiwa kwenye categories 17 huku akifuatiwa na  2 Chainz mwenye nominations 13 wakati Drake akiwa na 11.
Event hiyo ambayo mwaka huu ita-host-iwa na Omar Epps itarecord-iwa September 12, lakini itabidi tusubiri hadi October 9 ili kuweza kujionea tukio hilo kwenye juju box.
Awards hizi ambazo zilianzishwa mwaka 2006 zitafanyika huko Atlanta.

Nominations zenyewe hizi hapa:

Best Hip-Hop Video
  • 2Chainz f/ Drake – No Lie
  • A$AP Rocky – Goldie
  • Drake f/ Lil Wayne – HYFR
  • Wale f/ Miguel – Lotus Flower Bomb
  • Kanye West f/ Big Sean, Pusha T and 2Chainz – Mercy
Reese’s Perfect Combo Award (Best Collabo)
  • 2Chainz f/ Drake – No Lie
  • Drake f/ Lil Wayne & Tyga – The Motto (Remix)
  • J. Cole f/ Missy Elliott – Nobody’s Perfect
  • Wale f/ Miguel – Lotus Flower Bomb
  • Kanye West f/ Big Sean, Pusha T and 2 Chainz – Mercy
Sweet Sixteen (Best Featured Verse)
  • (2 Chainz) – Mercy F/ Kanye West F/ Big Sean, Pusha T, and 2 Chainz
  • Diddy - Same Dam Time Remix (Future F/ Diddy & Ludacris)
  • Drake - Stay Schemin' (Rick Ross F/ Drake & French Montana)
  • Ludacris - Same Dam Time Remix (Future F/ Diddy & Ludacris)
  • T.I. - Magic Remix (Future F/ T.I.)
Best Live Performer
  • A$AP Rocky
  • Drake
  • J. Cole
  • The Throne (Jay-Z & Kanye West)
  • Kanye West
Lyricist of the Year
  • J. Cole
  • Jay-Z
  • Kendrick Lamar
  • Nas
  • Kanye West
Video Director of the Year
  • A$AP Rocky & Sam Lecca
  • Benny Boom
  • Chris Robinson
  • Hype Williams
  • Kanye West
Producer of the Year
  • Hit-Boy
  • J. Cole
  • J.U.S.T.I.C.E. League
  • No I.D.
  • Kanye West
MVP of the Year
  • 2 Chainz
  • J. Cole
  • Jay-Z
  • Rick Ross
  • Kanye West
Track of the Year
  • Cashin’ Out – Produced by DJ Spinz (Ca$h Out)
  • Ima Boss – Produced by Jahlil Beats (Meek Mill f/ Rick Ross)
  • Ni**as in Paris – Produced by Kanye West, Hit-Boy and Mike Dean (The Throne – Jay-Z & Kanye West)
  • No Lie – Produced by Mike Will Made-It and Co-Produced by Marz (2Chainz f/ Drake)