Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Friday 14 September 2012

CHORUS GAL WA "SIHITAJI MARAFIKI" YA FID Q AJA NA VIDEO YA "familia YANGU"

Yvone Mwale

Kama hujawahi kuisikiliza ngoma ya "Sihitaji Marafiki" ya Fid Q aliyomshirikisha Yvone Mwale toka nchini Zambia then huna haja ya kubishana kuhusiana na uwezo mwanadada huyu.
Baada ya Fid kumtambulisha kwenye limelight ya Bongo mwanadada alikaa akatulia akachora ngoma inayoitwa "Familia Yangu" iliyorekodiwa ndani ya  Caravan Records.
Enjoy her  video....


No comments:

Post a Comment