Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Friday 14 September 2012

REDSAN AUNGANA NA PREZZO NA JAGUAR KUMPIGIA CAMPAIGN PM ODINGA


Unakumbuka picha ambazo zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii last week zilizokuwa zikimuonesha Raila Odinga ambaye ni Waziri Mkuu wa Kenya akiwa na Redsan ambaye ni dancehall sensation? 

PM Odinga alipokutana na Redsan

Well, details za meeting yao zimegundulika.
Redsan ni msanii mwingine kuwekwa wazi kumpigia campaign Odinga. Redsan atakuwa na kazi ya kuwaomba facebookers na tweeps kumpigia kura Waziri Mkuu huyo kwenye chaguzi zijazo.
Redsan anaungana na Prezzo na Jaguar kum-support Odinga.
Who is next?

No comments:

Post a Comment