Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Friday 14 September 2012

DNA MAHAKAMANI


Rapper DNA ambaye aliibamba vya kutosha music scene ya Afrika Mashariki kwa ngoma yake ya "Banjuka" atafika mahakamani siku ya Jumatatu kwenye case aliyoishitaki bank maarufu huko Kenya kwa kitendo chao cha kutumia parts za track hiyo kwenye tangazo bila ridhaa yake.

DNA anataka alipwe kutokana na hasara ambazo bank hiyo imemsababishia kwa alichokiita 'overstepping on his patents'.Pia DNA ana-claim kuwa kampeni ya bank hiyo ambayo inawalenga vijana,  inawafaidisha sana wao kupitia wimbo wake huo.Hata tittle ya campaign hiyo inajina la wimbo huo wa DNA.


No comments:

Post a Comment