Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Monday 22 October 2012

NEW MUSIC: BEYONCE FEAT. T.I - DANCE FOR YOU (REMIX)



NEW VIDEO: CHAPA LAPA BY NURU THE LIGHT FEAT. VEDASTO



FAMILIA YA SEBASTIAN MAGANGA WA CLOUDS FM YAPATA MGENI MWINGINE


Siku ya Ijumaa ya tarehe 19 ya mwezi huu familia ya bwana Sebastian Maganga ambaye ni mkuu wa vipindi at Clouds FM ilijaliwa kumpata mtoto wa pili wa kiume aliyepewa jina la Imani.


Hongera sana Seba na wife wako kwa kujipatia kidume....


IT'S ON .. 2012 REDDS MISS TANZANIA TALENT COMPETITION KUFANYIKA TAREHE 26 OCTOBER AT GIRAFFE OCEN VIEW HOTEL



We all know that shindano la kumsaka mlimbwende wa urembo hapa nchini maarufu kama Miss Tanzania linakaribia kufikia kilele siku si nyingi ambapo kabla ya grand finale zake hutanguliwa na mashindano mbalimbali mojawapo likiwemo ni lile la kumsaka mtembo mwenye talent.
This time around Lino International Agency kwa kushirikiana na Giraffe Ocean View Hotel wanakuletea 2012 Redds Miss Tanzania Talent Competition itakayofanyika mnano tarehe 26 October 2012 siku ya Ijumaa pale Giraffe Ocean View Hotel.
Tickets za competition hii zinapatikana  Shear Illusions ya Mlimani City, Giraffe Ocean View Hotel kwa shilingi 15,000 kwa watakao wahi huku watakaonunulia malangoni watazipata kwa shilingi 20,000.
Watch out this space for ore infoz......

Saturday 20 October 2012

BROKEN HEART DANCE by SOLO-THANG ft NIAM-CHAMBERS (Official NEW VIDE

B'BALL KITAA IS BAACK - Every Sunday's at Tanesco Grounds near US Embassy, come and have a blast!

VIDEO: PHILIBERT FT D KNOB - DOWN LIKE THIS


VIDEO: ALICIA KEYS - GIRLS ON FIRE


NEW VIDEO: NICK MINAJ FEAT. CASSIE - THE BOYS



NEW VIDEO : DAVIDO - GBON GBON


NEW SONG: KEVIN PAM - IN DA AIR


JAY Z AJA NA LIQOUR BRAND YAKE IITWAYO COGNAC D'USSE


Jay-Z is truly a busy man, anataka kuwekeza kwenye kila angle.
Akiwa anamiliki familia, fashionist pia akiwa kwenye siasa bila kusahau mziki wake sasa jamaa kaamua kuwekeza kwenye liqour.
Kwa muda mrefu sasa Jiggar amekuwa na kiu ya kuwekeza kwenye biashara hiyo na kuonyesha jinsi gani alivyodhamiria wiki hii amedhihirisha hilo baada ya kuachia commercial ad ya his cognac brand called D’usse.

Angalia video ya tangazo hilo;

CYNTHIA MASASI AFUNGA NDOA NA RICHARD MZIRAY LEO HII


Embedded image permalink
Maharusi wakila kiapo cha kuishi kama mume na mke leo
Embedded image permalink
Cynthia akielekea church

Embedded image permalink
Mrs Mziray aki-sign cheti chake cha ndoa

Embedded image permalink

 Brides Maids- Flaviana Matata, Alexia William & friend...

Kama ulikuwa hujui Cynthia Masasi aliwahi kuwa model kwenye video za wasanii hawa T.I, Juvenile, Jazze Pha, Rick Ross na wengine wengi.
Hongereni sana...

JUST IN: KANYE WEST SHOW IN SOUTH AFRICA IS SOLD OUT


Kama ulikuwa hujui ni kwamba Kanye West mwakani atapiga show huko kwa Madiba aka South of A mnamo tarehe 2 Feb, 2013 kwa udhamini mkubwa wa Castle Lite.
Kwa taarifa yako tickets zimeshakwisha....

New Song: Kamikaze ft. Bob Junior - Utamu wa Chocolate


Artist - Cyrill Kamikaze ft Bob Juniour
Song - Utamu wa chocolate
Studio - Sharobaro Records
Producer - Bob Juniour

Saturday 13 October 2012

STL AACHIA AUDIO NA VIDO YA "SHUT IT DOWN"


Stella Nyambura Mwangi alias STL ambaye ni rapper wa Kenya anaefanyia shughuli zake za kimuziki nchini Sweeden ameachia single mpya na video yake kwa jina la “Shut It Down‘.
STL ambaye wiki chache zilizopita aliwabariki fans wake kwa ngoma ya "Stella Stella Stella" aliwahi kuachia ngoma za “Lookie Lookie“, “Take My  Time” na “Haba Haba“  kutoka kwenye album yake aliyoitoa mwaka jana kwa jina la Kinanda.
Single hii ni ya pili kwa mwanadada STL kutoka kwenye album yake mpya ambayo bado haijajulikana jina na pia haijajulikana officially itatoka lini.Ukiachilia mbali wimbo huo pia ngoma ya “Bad as I wanna be“ itakuwemo ndani ya album hiyo. 
 Video ya ngoma hiyo hii hapa;

YOUNG JEEZY AZUNGUMZIA SABABU YA KUGOMBANA NA RICK ROSS KWENYE BET HIP HOP AWARDS 2012


Baada ya rapper Young Jeezy ku-release single yake ya "Get Right" mchizi alipata interview kwenye radio station ya  Power 106 Fm ambapo ndani yake alipata fursa ya kujibu swali aliloulizwa about beef yake na Rick Ross wa MMG iliyotokea backstage wakati wa BET Hip Hop Awards 2012.
Unajua ni nini alichokijibu..watch the video here

Tuesday 9 October 2012

AY NA CP KUPERFORM KWENYE ROAD2CHOMVA12 LIVE AT BILLICANAS


We all know AY na C Pwaa wamachaguliwa kuwania tunzo za Channel O Music Video Awards mwaka 2012.
C Pwaa amechagulia kuwania tunzo ya "Most Gifted Dance Video Of The Year" kupitia video yake ya "Hhmmm" (Code: 5F) wakati AY anawania tunzo tatu za MOST GIFTED MALE VIDEO kupitia video yake ya aliyowashirikisha Romeo & Lamyia ya "Speak With Your Body" (Code: 1E) pia MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO kupitia collabo yake na Sauti Sol – I Don’t Want To Be Alone (code: 13C) bila kushau MOST GIFTED VIDEO OF THE YEAR through Speak With Your Body song with Lamyia and  Romeo.
Kupitia ukurasa wa facebook wa CPwaa jana ali-post kuhusiana na performance watakayoifanya  kabla ya awards hizo maarufu kama "Road to CHOMVA 2012" itakayofanyika tarehe 28 ya mwezi huu pale Club Billicanas toka kwa AY na yeye mwenyewe huku pia upande mwingine ambao pia watapewa support toka wka Ngwair na Mwana FA.

ushahidi huu hapa...

 Kuendelea kuwapigia kura wawakilishi wetu hawa ingia hapa http://www.facebook.com/channelotv.

The Cypher (Fiesta 2012) - Various Artists

NEW SONG: Bachelor- Dbanj (snippet)

 


Download it here  http://t.co/CE53USA

Download Rick Ross' The Black Bar Mitzvah Mixtape

Download it hapa chini....


The Black Bar Mitzvah track list:
01 Intro
02 Don't Like
03 Mercy [ft. Rockie Fresh]
04 Us [ft. Drake and Lil Reese]
05 Rosenberg Skit
06 Birthday [ft. Diddy]
07 Burn
08 Clique [ft. Gunplay and Rockie Fresh]
09 911 [ft. 2 Chainz]
10 No Worries
11 Thumbin'
12 Presidential (Remix) [ft. Pharrell]
13 Bands [ft. Whole Slab]
14 Gone to the Moon
15 Itchin'
16 Ice Cold [ft. Omarion]
17 Bible on the Dash
18 Young 'n' Gettin It

Click hapa uweze kui-download free kabisa...

Thursday 4 October 2012

NGOMA MPYA: SHARK'S FAMILY - KUJINAFASI


ROZAY YUKO NJIANI SASA KUJA DAR KWENYE FIESTA..USHAHIDI HUU HAPA


MENEJA MANENO IS BACK...ATAMBULISHA KUNDI LAKE LIITWALO SHARK'S FAMILY

Meneja Maneno akiwa na crew yake ya Shark's Family

Hivi unakumbuka ile sagga iliyotekea hivi majuzi kati Ostaz Juma na Musoma na Meneja Maneno aka Mr. Project hadi kupelekea wawili hawa kusitisha kuendelea kufanya kazi kwa pamoja?. Haikuishia hapo, issue hii ilienda extra miles baada ya Maneno kuamua kutangaza kuachana na suala zima la kuwasimamia wasanii wa Kibongo na hivyo kudiriki kuingia studio yeye kama yeye kuonyesha uwezo wake wa kuimba pale alipo-record   his debut song called "Unani"
Unaweza kuamini kwamba pamoja na yote Maneno ambaye ni ex- manager wa Banana Zoro, TID, Sam Wa Ukweli, Diamond, Rich Mavoko na pia Mtanashati is back to his roots?, round hii Mr. Project amerejea na his own music crew called Shark's Family.
 Meneja Maneno payed a  visit to our offices ili kufunguka ujio wake mpya and ilikuwa hivi, "Kwanza napenda kuwashukuru Watanzania kwa moyo wao walionionyesha tangu yalipozushwa masuala ya mimi kumtapeli Ostaz Juma hadi sasa, hawakunitenga walinipa support na pia mawazo yao yalinijenga sana thats why leo hii niko hapa kuwatangazia ujio wangu mpya mimi na crew yangu mpya iitwayo Sharks Familiy", Maneno.
"Kwa kifupi Sharks Family ni music crew inayoindwa na wasanii kumi na moja ambao ni Kigwema ambaye ni  meneja msaidizi, Sister P, Tanzanite, Haji Ramadhani, Mbalamwezi, Khaly, Super Zii, Robby, Gody Bonge, Chris, Manyuti na TMD. Licha ya hili pia Shark's Family inamiliki Shark's Entertainment ambayo inamiliki Video production hauz inayofanya production mbalimbali kwenye events kama harusi, musi shows, still pictures etc bila kusahau band ambayo hutumbuiza kwenye hotels na kwingineko".

Nini kilichokufanya urudi kwenye kazi ya kuwasimamia wasanii na wakati ulishatangaza nia yako ya kuacha kazi hiyo, "Mambo hubadilika kulingana na wakati, nachoweza kusema ni kwamba nina love na mziki wa Bongo so nilipofuatwa na big boss wa Sharks Family aitwaye Sharif Mango nilimsikiliza mikakati yake na mimi nikampa ya kwangu and baada ya kukubaliana sikuona shida kukubali.So hii ni time yangu nyingine ya kuwa-prove wrong wale wote wanaodhani kwamba nafanya kazi yangu hii kiubabaishaji", aliongeza Maneno ambaye ana mwezi mmoja tangu aingie Sharks Family.
Nini kipya toka kwenye music crew yako?
"Kwa sasa tunatambulisha ngoma mpya iitwayo "Kujinafasi" ambayo imefanywa chini ya producer Messen at Defatality Studio ambapo baadae itaguatia video ya wimbo huu ambayo iko tayari kabla ya projects nyingine za wasanii wangu kufuatia".
Mipango ya kundi lako kwa ujumla ikoje, "Mipango iko mingi sana, kwanza we are about kufungua audio production house yetu siku si nyingi tunachosubiri ni vifaa kufika bandarini then vifungwe, lengo kubwa la kufanya hivi ni kutengeneza mziki at zero cost kama wanavyofanyaga kina Chameleone na wengine wenye production zao wenyewe", alimalizia Maneno.

2 FACE - IHE NE ME [Official Video]

Icheki video hii ya 2 Face ambapo ndani yake katupia kiwashili....

Wednesday 3 October 2012

CHECK OUT JINSI DIAMOND ALIVYOSHEREHEKEA BITHDAY YAKE JANA AT HOTEL D'MAGE


Jana ilikuwa siku ya kuzaliwa ya Diamond Platinum alias Naseeb Abdul ambapo aliadhimisha siku yake hii ya kuzaliwa at Hotel D'mage -Kinondoni.
Check out ilivyokuwa..




Hii ni cake maalum ambayo aliniletea Wema kama moja ya zawadi ya Birthday yangu
Wema na dada yake Diamond aitwaye Esma wakilishana cake




All the way from UK Naj pia alikuwepo
Dimpoz kwa Poz, Mboni Masimba na Mecky




Diamond akiwa na Mbini pamoja na Dallas ambaye ni boyfriend wa Wolper



Babu Tale na Naj wakiteta jambo

Team Sheta


Dallas tena......





Wema na Mboni Masimba























DOZEN & SHETTA
Watoto wa Manzese TIPTOP pia ndani