Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Saturday 13 October 2012

STL AACHIA AUDIO NA VIDO YA "SHUT IT DOWN"


Stella Nyambura Mwangi alias STL ambaye ni rapper wa Kenya anaefanyia shughuli zake za kimuziki nchini Sweeden ameachia single mpya na video yake kwa jina la “Shut It Down‘.
STL ambaye wiki chache zilizopita aliwabariki fans wake kwa ngoma ya "Stella Stella Stella" aliwahi kuachia ngoma za “Lookie Lookie“, “Take My  Time” na “Haba Haba“  kutoka kwenye album yake aliyoitoa mwaka jana kwa jina la Kinanda.
Single hii ni ya pili kwa mwanadada STL kutoka kwenye album yake mpya ambayo bado haijajulikana jina na pia haijajulikana officially itatoka lini.Ukiachilia mbali wimbo huo pia ngoma ya “Bad as I wanna be“ itakuwemo ndani ya album hiyo. 
 Video ya ngoma hiyo hii hapa;

No comments:

Post a Comment