Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Wednesday 27 February 2013

CIARA NA FUTURE MAMBO HADHARANI

Ciara na mpenzi wake mpya rapper Future wakiwa  Beverly Hills just for dinner date



They left together arm in arm after the romantic dinner date.

BEYONCE AJA NA KIATU CHA WANYAMA

Apart from music pia ni designer mkali wa mavazi. But this time around, Beyonce is taking shoe fashion to the next level. Jay Z’s wife anakuja na kiatu. Kiatu hiki kimetengenezwa kwa materials mbalimbali basically ngozi za wanyama.

PMZ au Perfectly Made Kicks ndio kampuni iliyolamba tenda yakutengeneza kiatu hicho. Ngozi za wanyama zilizotumika mpaka kukamilisha kiatu kimoja kutengenezwa ni pamoja na ngozi ya mbuni, mamba, ndama na anaconda.

Viatu hivi vimepewa jina “The King-Bey”  vimeshaidhinishwa na Beyonce mwenyewe tayari kuingizwa sokoni ingawa mpaka sasa hakuna bei yoyote iliyotangazwa kwa kila pair moja.Stay tuned!