Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Wednesday 13 March 2013

MICHAEL JACKSON ALIPOIMBA KISWAHILI!

Ni ngoma ya 'Liberian Girl'. Ndani ya ngoma hii iliyorekodiwa na kutolewa mwaka 1987 toka katika albam ya 'Bad' ndio ina maneno yasemayo, 'Nakutaka pia, Nakupenda pia, Mpenzi wangu'! Sio kwamba Michael Jackson alisema moja kwa moja maneno haya kwa Kiswahili bali yeye alitafsiri maneno hayo kutoka kwa SouthAfrican singer, Letta Mbulu. Alichofanya MJ ni kutafsiri kutoka Kiswahili moja kwa moja kwenda Kiingereza.

Wataalamu wa mambo wanasema kuwa hii ni heshima kubwa kwa jamii ya Afika Mashariki na Kati pia. 


KIM KARDASHIAN AKANYAGWA MGUU

Katika hali isiyotarajiwa mlinzi anayemlinda Kim Kardashian amemkanyaga kwa mbaya Kanye West's girlfriend. Hii ilitokea nje ya  ofisi ya mama yake Kim, Kris Jenner alipokuwa katika harakati za upigaji picha wa 'Keeping Up With The Kardashians', California, Jumanne jana.