Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Wednesday 13 November 2013

WASHIRIKI TOP MODEL WAFUNDWA NA REGINA MRONI

 
 Regina Mromi miss Ilala wa zamani akitoa semina fupi kuhusu namna kuigiza,mrembo huyu wa zamani ambae yuko katika tasnia ya kuigiza amewahakikishia washiriki hao kua baada ya kambi kuisha vipaji vya waigizaji bora vinakua vimeiva tayari kuingia katika soko la ushindani.
Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Regina.
 Washiriki wakisikiliza kwa makini semina hiyo fupi ilidumu takribani dakika 25 nadi ya uumbi wa .serengeti ball room katika hoteli ya Jb Belmont,jijini Dar.

POZI KWA POZI WASHIRIKI WA TANZANIA TOP MODEL MBELE YA KAMERA

 
 
 Maturege,mshiriki toka mwanza akishoo baadhi ya pozi mbele ya kamera.
Mila mshiriki toka Dar es salaa nae akionyesha
 umwamba wa kupozi mbele ya kamera.
 
 
 
 
 nANI KMFUNIKA MWENZAKE KWA POZI!?

WAALIMU WA KUIGIZA NA DANCE WATEMBELEA KAMBI YA TOP MODEL 2013

 Dr.Cheni akitoa semina kwa washiriki wa shindano la Tanzania Top model 2013 kuhusiana na vipaji vya kuigiza kwa washiriki hao.
Tukio hili limetokea leo katika Hoteli ya JB Belmont.
Msanni maarufu Chiki akitoa maelezo kwa washiriki namna kuigiza na mbinu mbadala za kubeba uhusika halisi katika tasnia ya uigizaji.
Jackson Kalikumtima na Boy George.
Mwalimu wa danceBad spencer akitoa vionjo vya dance kwa washiriki wa shindano la Tanzania Top model 2013.

Chezea kuigiza wewe..apana chezea...hapa mshiriki akionesha namna ya kuigiza kana kwmba katishwa na kitu hivi...
 
 
 

TANZANIA TOP MODEL 2013 IMEPAMBA MOTO MAZOEZINI

Washiriki wanaowania taji la Tanzania Top model 2013 wakiwa mazoezi leo jioni katika hoteli ya JB Belmont iliyopo katikati ya viunga vya jiji la Dar,namaanisha posta..