Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Wednesday 22 August 2012

DIAMOND AFANYA NGOMA NA J MARTIN

 
 
Msanii wa Bongo Fleva Diamond amefanya wimbo Mj Records ambao atamshirikisha J Martins kutoka Nigeria .Wimbo huo kwa sasa unafanyiwa Final Mixing na Marco Chali na verse ya kwanza na Chorus ameshafanya Diamond na Dancer wake  Mose Iyobo kwenye chorus .Mose Iyobo ni Dancer wa Diamond anaetaka kuanza kuimba na tayari ameshaonyesha uwezo wake kwenye nyimbo hio katika chorus . Utengenezwaje wa wimbo hu hauta chukua muda mrefu sana kwani tayari J Martins anasubiri wimbo huo na yeye aingize sauti yake .Skiliza Power Jams kwa updates kuhusu wimbo huo.

Pia Jumatano hii Diamond anaenda Marekani kufanya show Washington DC na hii itakuwa mara ya kwanza Diamond kwenda kufanya show Marekani. Kwenye safari hii ata safiri na Dancer wake wote wa nne , na mzungumzaji wake .Diamond atafanya show kwenye mkutano mkubwa unaofanyika Marekani na Ombi la watu watakao kuwa kwenye mkutano huo ni kuwa Diamond ndio msaani waliomtaka afanye burudani.

No comments:

Post a Comment