Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Tuesday 29 January 2013

BEYONCE KATIKA BAHARI YA PESA

Jay Z’s wife, Beyonce amesaini mkataba na Kampuni ya kutengeneza soda PEPSI hivyo  Bey anatarajiwa kulamba dola milioni 50 kwa ajili ya show itakayopigwa tarehe 03 February, 2013, katika ukumbi wa Mercedes-Benz Superdome, New Orleans.
Beyonce
Show hii imekuja wakati bado kuna rumours kwamba kundi la Destiny’s Child limerudi na pengine siku hiyo beyonce ata-team up na Michelle Williams and Kelly Rowland – Michelle ingawa Michelle amepinga tetesi lakini amekiri kuwa wamesharekodi ngoma kama Destiny’s Child!
Destiny's Child


No comments:

Post a Comment