Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Thursday 31 January 2013

NDOA YA BRAD NA ANGELINA, MAY HII!



Brad Pitt na Angelina Jolie wamewataarifa watu wao wa karibu kuwa wiki ya mwisho ya mwezi May waiache free kabisa. Hii inatafsiriwa kuwa Brad na Jolie wako on thier preparation to tie knots. 
Ishara za ndoa hiyo:

    
Brad, 49, na Jolie, 37, wako katika marekebisho ya mjengo wao wenye thamani ya dola milioni 83, ‘Chateau Miraval mansion’, Kusini mwa Ufaransa ikiaminnka kuwa ndoa yao itafanyika nyumbani kwao!
 

 Msaidizi wa Angelina ameshatumwa kununua pete from the top Los Angeles jewellers Neil Lane.
Hii itakuwa ndoa ya pili kwa Brad Pitt baada ya ile ya kwanza na Jennifer Aniston, Brad na Angelina wana watoto 6:- Maddox, 11, Pax, 8, Zahara, 7, Shiloh, 6, na mapacha Knox and Vivienne, 4.


No comments:

Post a Comment