Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Wednesday 10 April 2013

RICK ROSS AOMBA RADHI KWA KUBAKA!

Maybach Music boss Rick Ross ameomba radhi jamii na fans wake kwa ujumla kutokana na mistari yake kutafsirika kama vile mtu anayebaka msichana. Rossay aliomba radhi kupitia akaunti yake ya twitter.
 
 ‘I don’t condone rapè. Apologies for the #lyric interpreted as rapè. #BOSS’.
 
Hii imekuja baada ya wanaharakati wanawake waliowahi-kubakwa wakiwa na mabango yao kwenda mpaka kwenye ofisi za Reebok huko New York ambao ndio wadhamini wa The Boss. Mistari yenye utata katika ngoma yake U.O.E.N.O inasomeka, ‘Put molly all in her champagne, she ain’t even know it/I took her home and I enjoyed that, she ain’t even know it’. Akimaanisha anawekewa molly (kilevi) kwenye shampeni ya demu bila yeye kujua. Anampeleka nyumbani kwake na kum-do bila yeye (demu) kujua.
 
Kweli raia wa USA wako makini!

No comments:

Post a Comment