Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Monday 21 January 2013

IT'S ALL ABOUT MAKEUP!

Mpaka wajipige makeup ndio wanatokelezea. 

Kutokelezea bomba ukiwa na makeup haimaanishi wewe ni mbaya (utakapokuwa haujapakaa makeup), ila upakaji wa vipodozi huleta zaidi ule uzuri asilia hasa kwa mabinti. Ifuatayo ni list ya celebrities ambao bila makeup hali huwa mbaya ila wakitupia makeups, ni noma!


    Rihanna, bila makeup (kushoto), akiwa na makeup (kulia)

    Jessica Alba, akiwa na makeup (kushoto) bila makeup (kulia)

    Pamela Anderson, bila makeup (kushoto), akiwa na makeup (kulia)

Hawa wapige wasipige makeup bado wanatokelezea bomba!

    Beyonce

    Kim Kardashian

    Jennifer Lopez

    Ciara

    Jennifer Hudson

    Eva Longoria

No comments:

Post a Comment