Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Thursday 27 September 2012

KITCHEN PARTY YA AUNTY EZEKIEL TAREHE 24 0CTOBER PALE MLIMANI CITY


We all know Aunty Ezekiel siku si nyingi ataachana na wazazi wake na kwenda kuungana na mumewe aitwaye Demonte ili kuishi kama mume na mke.
Baada ya zoezi zima la kukusanya michango kwa ajili ya harusi  kukamilika,sasa Aunty atafundwa rasmi tarehe 24 October mwaka huu at Mlimani City kabla ya wiki moja baadaye kufanyiwa sherehe katika hoteli ya Serena.

Licha ya kuwepo kwa habari kuwa Aunty Ezekiel hakubaliki ukweni kutokana na vitendo vichafu ambavyo amevifanya siku za hivi karibuni haya ndiyo aliyoyasema, "Taarifa hizo hazina ukweli wowote, naamini watu wenye chuki zao ndio wanaosambaza uongo huo ili kuniharibia mambo yangu".
"Mpaka sasa taratibu za harusi yangu zinaendelea kwa ushirikiano mkubwa wa wakwe zangu na mume wake mtarajiwa", Aunty ambaye hivi majuzi picha zake za uchi zilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.

No comments:

Post a Comment