Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Wednesday 9 January 2013

CHEKI KITUMBO CHA AMBER ROSE

Zimebaki wiki chache Amber aitwe mama, hata hivyo Amber Rose ashindwa kuvumilia kuonyesha tumbo lake pale siku zake za kujifungua zikiwa zinakaribia.
Mwanmke huyo wa miaka 29 aweka picha yake ya profile katika mtandao wa kijamii ujulikanao kama Twitter huku akiweka mikono yake juu ya tumbo lake.

 PICHA ALIYOPIGA HUKU MKONO UKIWA TUMBONNI

Katika picha nyingine aliyopiga, Amber alieleza kuwa ujauzito wake umemfanya atamani sana kula ikapelekea mpaka ku-share picha moja ya vitu anavyotamani sana kula.

PICHA ALIYO-SHARE IKIONYESHA VYAKULA ANAVYOTAMANI SANA KIPINDI HICHI CHA UJAUZITO

No comments:

Post a Comment