Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Wednesday 8 August 2012

UKO TAYARI KUONGEA NA TAYLOR SIWFT LIVE?



Ndio, ni kweli !! Mwanamuziki huyu mkubwa wa Pop duniani ataongea moja kwa moja na wewe. Hii itakuwa ni kupitia youtube.com/TaylorSwift kwenye mida ya 4pm PST / 7 EST Tarehe 13/8 siku ya Jumatatu ili kusikia habari kubwa kutoka kwa Taylor Swift na pia wewe kumuuliza maswali yako yoteee. Kwa kujiuliza... Ni habari gani kubwa anayotaka kuisema??? Labda tuhisi ni kutoka katika album yake itakayofuata... Jiandae na Taylor siku ya Jumatatu.
http://youtu.be/I4TIvOCa3t8

No comments:

Post a Comment