Singer now turning to be an
actress Avril amekula mchongo wa ku-act katika tamthiliya ya 'Noose of Gold’
inayorushwa na kituo cha M-NET. Avril ataigiza
katika season ya 5 ya tamthiliya hiyo na nafasi yake ni ‘Muuza madawa ya kulevya’.
Avril alipoulizwa kama nafasi
hiyo inaakisi maisha yake ya kawaida ya kila siku, alikana kwa kusema, “Sijawahi
kuhusika iwe kwa kutumia au kuuza madawa ya kulevya. Sasa hivi ndio najifunza
mambo haya”.
Pengine nafasi hii imekuja baada ya kuonekana amefanya vizuri sana kiuigizaji katika video ya 'Kesho' ya Diamond.