Uvumi mwingi ulienea kuwa Kim Kardashian alikuwa na-fake ujauzito alioupata na boyfriend wake Kanye West. Sasa Kim ametoa picha zinazoonyesha tumbo lake kuwa lina kiumbe ndani yake na sio magumashi kama wadakuzi wengi wanavyodhani.
Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Wednesday, 10 April 2013
Tuesday, 9 April 2013
AVRIL KUUZA MADAWA YA KULEVYA!
Singer now turning to be an
actress Avril amekula mchongo wa ku-act katika tamthiliya ya 'Noose of Gold’
inayorushwa na kituo cha M-NET. Avril ataigiza
katika season ya 5 ya tamthiliya hiyo na nafasi yake ni ‘Muuza madawa ya kulevya’.
Pengine nafasi hii imekuja baada ya kuonekana amefanya vizuri sana kiuigizaji katika video ya 'Kesho' ya Diamond.
Avril alipoulizwa kama nafasi
hiyo inaakisi maisha yake ya kawaida ya kila siku, alikana kwa kusema, “Sijawahi
kuhusika iwe kwa kutumia au kuuza madawa ya kulevya. Sasa hivi ndio najifunza
mambo haya”.
Pengine nafasi hii imekuja baada ya kuonekana amefanya vizuri sana kiuigizaji katika video ya 'Kesho' ya Diamond.
RAISI WA URUSI AONYESHWA MATITI ZIARANI HADHARAN!
Raisi wa Urusi Vladimir Putin na Chancellor wa Ujerumani, Bi. Angela Merkel walikutana na kimbwanga cha mwaka baada ya kuvamiwa na mwanamke mwanaharakati aliyeku wazi kabisa kifuani na kuwaonyesha matiti yake viongozi hao walipokuwa katika ziara ya viwanda huko Hanover, Ujerumani jana Jumatatu.
Hata
hivyo Bi. Angela Merkel hakufurahishwa na ulinzi
mbovu hivyo kumruhusu mwanamke huyo kujipenyeza mpaka kuwafikia viongozi
hao!
![]() |
| Cheki reaction ya bwana raisi baada ya kuonyeshwa matiti. |
KANYE WEST AIBA NGOMA!
Roc-A-Fella Records & Good Music Rapper Kanye West, 35, ameingia matatani kwa kuiba baadhi ya mistari na kuitumia katika ngoma yake ‘Gold Digger’. Jana Jumatatu Trena Steward na Lorenzo Pryor, watoto wa David Pryor, ndio waliofungua kesi hii kwa niaba ya baba yao aliyeimba wimbo huo 'Bumpin Bus Stop' kwa kushirikiana na bendi yake, Thunder & Lightening mwaka 1974.
Ni sekunde 13 tu za wimbo wa David Pryor ndio West alikopi mistari pia tune ambayo ni 'Get down'
three times’ huku West alisema, 'Get down, girl, go head get down' three times’. Trena Steward na Lorenzo Pryor, watoto wa David Pryor kila mmoja anamiliki robo
ya tune katika wimbo huu na wanahitaji fidia ya $ 150,000 pamoja gharama za
wakili.
Hii sio mara
ya kwanza kwa West kupelekwa mahakamani kwani mwaka September, 2012, New York record label, TufAmerica
ilimfungulia mashtaka West kwa kuchukua mistari ya ngoma ya Eddie Bo, 'My Beautiful Dark Twisted Fantasy' na kutoa ‘Stronger’.
Monday, 8 April 2013
A GAME TWO CAN PLAY! BROWN Vs RIHANNA.
Juzi Chris Brown alionekana
anamhofia babyboo wake Rihanna kwamba anaweza kumsaliti wakati akiwa katika
tour yake. Lakini inaonekana kama Rihanna ndio wakumhofia Chris Brown wakati alipoonekana aki-party club
na dada duu mmoja usiku wa Jumamosi! Brown alionekana akishikana mikono na mtoto huyo huku
akimpa chupa moja ya champagne huko Los Angeles nightclub.
Nani hapa anamdanganya
mwenzake? Is it Brown or Riri?
Wakati hayo yakitokea kwa Brown, Rihanna ,25,
alionekana Jumapili (siku inayofuata) akicheki basketball match kati ya Los Angeles
Clippers dhidi ya Los Angeles Lakers na mchizi mwingine kabisa!
Subscribe to:
Posts (Atom)








