Young Money president Mack Maine alithibitisha kutolewa kwa Wayne kupitia akaunti yake ya twitter, ''Thanks to Cedar Sinai for everything!!! @LilTunechi has been officially been released and is headed home....God is great (sic)''. ''God Bless.my son just release frm hospital.thanks 4 all tha luv.YMCMB.Richgang (sic)''
Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Tuesday, 19 March 2013
LIL WAYNE ATOKA HOSPITALI!
Hatimaye 'Mirror' hitmaker Lil Wayne ameruhusiwa kutoka hospitalini, California's Cedars-Sinai Medical Center's intensive care unit (ICU) alikokuwa amelazwa kwa siku 6 zilizopita. Lil Wayne a.k.a Dwayne Carter alipatwa maswahibu hayo baada ya kubugia madawa ya kulevya aina ya 'codeine' kupitiliza mpaka kupoteza fahamu kabisa.
Young Money president Mack Maine alithibitisha kutolewa kwa Wayne kupitia akaunti yake ya twitter, ''Thanks to Cedar Sinai for everything!!! @LilTunechi has been officially been released and is headed home....God is great (sic)''. ''God Bless.my son just release frm hospital.thanks 4 all tha luv.YMCMB.Richgang (sic)''
Young Money president Mack Maine alithibitisha kutolewa kwa Wayne kupitia akaunti yake ya twitter, ''Thanks to Cedar Sinai for everything!!! @LilTunechi has been officially been released and is headed home....God is great (sic)''. ''God Bless.my son just release frm hospital.thanks 4 all tha luv.YMCMB.Richgang (sic)''
GHARAMA ZA WASANII HAWA KUPIGA SHOW NI NOMA!
Tajiri la kutupwa huko South Afrika, Vivian Imerman amemchomolea msanii Adele toka Uingereza ku-perform katika harusi ya binti yake, Megan kutokana na gharama za msanii huyo kuwa juu mno. British singer Adele anahitaji pauni milioni 2.5 ili kutua South Africa na kupiga show hiyo. Hii ina maana kuwa kwa dakika 1 Adele anahitaji kulipwa pauni laki 1 na kwa vile show yake ilihitajika kuchukua dakika 25 hivyo ghararma yake ikawa pauni milioni 2.5!
Ikumbukwe miaka 2 iliyopita Taikuni hili lilimlipa Amy Winehouse maelfu ya dolari kwa ajili ya ku-perform katika harusi ya dada yake Megan, Bianca na alitarajia hivyo kwa Adele lakini alishangazwa kwa bei juu aliyoitaka Adele. Lakini dhamara ya Vivian Imerman iko palepale na sasa anasaka msanii mwingine tofauti na Adele!
Wasanii wengine pamoja na gharama zao za kupiga show ni kama ifuatavyo:-
1. Jay Z & kanye West - $3,000,000
2. 50 Cent - $2,000,000
3. Eminem - $1,650,000
4. Rihanna - $800,000
5. Lil Wayne - $500,000
6. Drake - $155,000
7. Nicki Minaj - $150,000
8. Akon - $120,000
9. T.I. - $110,000
10. Snoop Dogg - $105,000
Ikumbukwe miaka 2 iliyopita Taikuni hili lilimlipa Amy Winehouse maelfu ya dolari kwa ajili ya ku-perform katika harusi ya dada yake Megan, Bianca na alitarajia hivyo kwa Adele lakini alishangazwa kwa bei juu aliyoitaka Adele. Lakini dhamara ya Vivian Imerman iko palepale na sasa anasaka msanii mwingine tofauti na Adele!
![]() |
| Adele |
1. Jay Z & kanye West - $3,000,000
2. 50 Cent - $2,000,000
3. Eminem - $1,650,000
4. Rihanna - $800,000
5. Lil Wayne - $500,000
6. Drake - $155,000
7. Nicki Minaj - $150,000
8. Akon - $120,000
9. T.I. - $110,000
10. Snoop Dogg - $105,000
Monday, 18 March 2013
SIKU YA 6: LIL WAYNE BADO HAJITAMBUI ICU!
Ni siku ya sita sasa toka Lil Wayne akimbizwe hospitali, L.A.'s Cedars-Sinai hospital akiwa hajitambui. Na bado mpaka sasa yupo ICU akiwa hajitambu. Ni kutokana na utumiaji wa madawa ya kulevya kupindukia.
Mastaa wakiwemo Drake na Nicki Minaj, Eminem, Birdman na wengine kibao walimiminika hospitali kumjulia hali Wayne. Kitanda cha Lil Wayne kimezungukwa na ndugu jamaa na marafiki wakimwombea afya njema na vilio vimetawala pia hospitalini hapa!
Madaktari wanaomtibia Wayne ilibidi wali-flash tumbo lake mara 3 ili kuondoa madawa ya kulevya aina ya 'codeine' baada ya Lil Wayne kubugia madawa hayo kupitiliza!
P-SQUARE WAISIMAMISHA MALAWI!
The Alingo stars, P-Square wako katika tour yao katika mataifa ya barani Afrika na wik-end iliyokwisha walikuwa nchini Malawi na kuangusha bonge moja la show. Show ilikuwa hivi:
JUMBA BEI GHALI ZAIDI NCHINI UINGEREZA!
Hii ndio nyumba ghali nchini Uingereza. Kutokana na bei yake kuwa juu sana ilibidi ipunguzwe kwa takribani pauni milioni 35. Na hii imechukua miaka miwili bila mnunuzi kupatikana. Na sasa bei yake ni pauni milioni 65 tu!
Bangaloo hili lina vyumba 14 vya kulala na linapatikana katika mtaa wa Hampstead, mtaa huu unajulikana kama 'Billionaires' row' kwa sababu wakazi wa eneo hilo ni wanauwezo kiuchumi!
Bangaloo hili lina vyumba 14 vya kulala na linapatikana katika mtaa wa Hampstead, mtaa huu unajulikana kama 'Billionaires' row' kwa sababu wakazi wa eneo hilo ni wanauwezo kiuchumi!
Jumba hili la kifahari lilijengwa mwaka 1910 liliwekwa sokoni toka mwaka 2011 na bei yake ilikuwa ni pauni za Uingereza, milioni 100.
Subscribe to:
Posts (Atom)