Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Friday, 18 January 2013

"FOR GIRLS ONLY"

Peter Okoye one half of P-Square hivi majuzi alipost picha hizo hapo chini katika ukurasa wake wa Instagram with the above heading as a caption.

Is he trying to attract beautiful ladies out there with his "six packs"?

  Do you feel him girls out there?


                            Take yo shirt off!

                            Like Fally Ipupa like Peter Okoye!

   With his Lamborghini Gallardo worth USD 200,000

EXCLUSIVE: BILIONEA NO.1 AFRICA ANUNUA BOTI YA KIFAHARI!

Aliko Dangote, bilionea namba moja Africa kutokana na takwimu za Forbes Magazine akikadiriwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 12, juzi tarehe 17 alifanya kufuru ya kununua boti ya kifahari na kuipa jina la "Mariya"

Chairman huyo wa Dangote Group of companies amefanya kununua just the same yatch na ile ya mpinzani wake Femi Otedola kukiwa na utofauti mdogo sana.

    Tabasamu la fwedha, Mzee Dangote.

    Boti la Aliko Dangote.

Thursday, 17 January 2013

KIM KARDASHIAN NDANI YA HIJABU

Ni mtoko wa gazeti jipya la kiarabu mahsusi kwa wakinamama liitwalo  Hia. The reality show star Kim Kardashian ameuza sura katika cover la gazeti hilo kwa kutupia vazi la aina yake la hijabu lijulikanalo kama Hajia, au Alhaja ama Burkha. 

Kardashian anaonekanaamezifunika nwele zake kulingana na maadili na jinsi vazi husika linavyotakiwa kuvaliwa na wanawake na mbinti wa kiislamu. Mwenye asili haachi asili, katika picha zingine zilizovuja zinaonyesha mpaka sehemu ya matiti ya Kardashian!




ANACHOFANYA BEYONCE KABLA YA KU-DO!


Unafanya maandalizi yoyote kabla ya kungonoka? Basi mama yake Blue Ivy, Beyonce hufanya! Kwa taarifa yako kabla ya ku-make love na mume wake kipenzi rapper Jay Z, Bey husikiliza wimbo wa Rick James ‘Make Love to Me’.

“Inapotokea naogopa, najikubali, najiachia. Hupenda kusikiliza wimbo wa Make love to me na hapo ndipo napata mzuka wakufanya mapenzi na mume wangu”, Beyonce.




CHOZI LA ROONEY UWANJANI!

Haujapita muda mrefu toka mdogo wake mke wa mshambuliaji wa Man Utd Wayne Rooney afariki dunia kutokana na ugonjwa wa "mtindio wa ubongo". Jana, katika FA Cup match kati ya Man Utd dhidi ya West Ham Utd, Rooney alimwaga machozi hii ni baada ya kufunga goli pekee katika mchezo huo uliokuwa wa marudiano na kuivusha United mpaka raundi ya nne. 

Huu ni ujumbe wa Rooney mahsusi kwa marehemu shemejie Rosie McLouglin:

 rooney



Marehemu Rosie McLouglin wakati wa uhai wake pamoja na mke wake Rooney, Coleen.