Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Thursday 17 January 2013

CHOZI LA ROONEY UWANJANI!

Haujapita muda mrefu toka mdogo wake mke wa mshambuliaji wa Man Utd Wayne Rooney afariki dunia kutokana na ugonjwa wa "mtindio wa ubongo". Jana, katika FA Cup match kati ya Man Utd dhidi ya West Ham Utd, Rooney alimwaga machozi hii ni baada ya kufunga goli pekee katika mchezo huo uliokuwa wa marudiano na kuivusha United mpaka raundi ya nne. 

Huu ni ujumbe wa Rooney mahsusi kwa marehemu shemejie Rosie McLouglin:

 rooney



Marehemu Rosie McLouglin wakati wa uhai wake pamoja na mke wake Rooney, Coleen.

No comments:

Post a Comment