Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Thursday 17 January 2013

KIM KARDASHIAN NDANI YA HIJABU

Ni mtoko wa gazeti jipya la kiarabu mahsusi kwa wakinamama liitwalo  Hia. The reality show star Kim Kardashian ameuza sura katika cover la gazeti hilo kwa kutupia vazi la aina yake la hijabu lijulikanalo kama Hajia, au Alhaja ama Burkha. 

Kardashian anaonekanaamezifunika nwele zake kulingana na maadili na jinsi vazi husika linavyotakiwa kuvaliwa na wanawake na mbinti wa kiislamu. Mwenye asili haachi asili, katika picha zingine zilizovuja zinaonyesha mpaka sehemu ya matiti ya Kardashian!




No comments:

Post a Comment