Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Saturday, 12 January 2013

BECKHAM BACK TO LONDON

The 37-year-old footballer, David Backham amekodisha kijiji huko London ambacho inasemekana kimemgharimu £20million! Limjengo hilo linafananishwa na la mkali wa movies za 007, James Bond,, thanks to state-of-the-art security.
Jumba hilo linamilikiwa na Touker Suleyman, boss wa Ghost and Hawes & Curtis. David mwenyewe ameonekana akirandaranda nje ya mjengo huo siku ya Alhamisi!

David and wife Victoria along with their children, Brooklyn, 13, Romeo, 10, Cruz, seven and Harper, 18 months (not pictured) are said to be excited about living in London!




                Mwonekano wa mjengo wa Beckham kwa mbele!


                      Beckham, Posh, Brooklyn, 13, Romeo, 10, Cruz, seven and Harper.

VITA YA BIKINI KATI YA RIRI NA KIM K

Ishakuwa gumzo mbele ya hadhira ya wana-Show Bizz ya duniani kati ya figure ipi matata kati ya Top Stars, speaking of Diamond singer and Chriss Brown's baby come back Rihanna versus Kanye's baby mama, Kim Kardashian, wote wakiwa ndani ya kijivazi kimoja tu cha bikini! Who got delicious booty? 
Mambo ya Wanadamu hayo!

    Kim K


Riri












Thursday, 10 January 2013

MTAMBO WA KUZALISHA MASUPERSTAR TANZANIA



Kutana na Mtambo wa kuzalisha ma superstar kwa jina anaitwa :-
LOVENESS HOYANGE





Moja  ya wadada wastaarabu Tanzania, ukisikia jina kama vile
Genevive Mpangala
(former Miss Tanzania 2010)




Angela Lubala
(former Redd’s Ambasador 2008)


Irene Uwoya,




Silvia Bahame,
(former Miss Tanzania 2002)




 Queen David,
(former Miss Temeke 2007)


 Jokate Mwegelo,
(former Miss Temeke 2006)


 basi ujue kuna mkono wake.
Dada huyu ambae alikuwa wakala wa Ms Tanzania katika miaka ya 2003 – 2006 alifanikiwa kuzalisha masuperstar kibao ambao kwa sasa wanalead kwenye anga mbalimbali hapa Tz alileta chhangamoto kubwa kwenye Tasnia ya urembo haswa Miss Tanzania kwa kutafuta warembo bomba ambao walileta upinzani mkubwa kwenye Ms Tanzania kupitia kitongoji cha Kurasini kwani katika kipindi hicho Miss Kurasini ndio Miss Temeke
Huyo ndiye Loveness
Mtambo wa kuzalisha masuperstar

BRITNEY SPEARS KUJITOA KATIKA X-FACTOR USA

Britney Spears ajitoa katika X-factor USA punde tu baada ya kipindi cha kwanza cha show baada ya kugundua kuwa Bosi wa show hiyo Simon Cowell yuko mbioni kumtoa kwakuwa anaboa.

Mwimbaji huyo mwenye umri wa miaka 31 ameamua kujitoa wakati Cowell mwenye miaka 51 akiwa katika mipango ya kuvunja mkataba wake wa dola za kimarekani milioni kumi na tano ($15,000,000) baada ya kuona kuwa staili yake ya kutoa maamuzi inakosolewa sana.

BRITNEY AKIWA ANATOA MAAMUZI (JUDGE)

BRITNEY NA BOSI WA SHOW HIYO WAKIWA KATIKA POSE.

MARIO BALOTELI NA STYLE MPYA YA NYWELE

Mchezaji mtukutu wa Manchester City Mario Baloteli sasa kuja na staili mpya ya nywele.

Mchezaji huyo aliiibuka katika uwanja wa mazoezi asubuhi ya leo akiwa na style yake ileile iliyozoeleka lakini zikiwa na rangi ya Gold na kumfanya aonekane katika muonekano tofauti na ilivyozoeleka.

MARIO BALOTELI KATIKA MUONEKANO MPYA

MARIO BALOTELI KATIKA MUONEKANO WA ZAMANI