Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Thursday 10 January 2013

BRITNEY SPEARS KUJITOA KATIKA X-FACTOR USA

Britney Spears ajitoa katika X-factor USA punde tu baada ya kipindi cha kwanza cha show baada ya kugundua kuwa Bosi wa show hiyo Simon Cowell yuko mbioni kumtoa kwakuwa anaboa.

Mwimbaji huyo mwenye umri wa miaka 31 ameamua kujitoa wakati Cowell mwenye miaka 51 akiwa katika mipango ya kuvunja mkataba wake wa dola za kimarekani milioni kumi na tano ($15,000,000) baada ya kuona kuwa staili yake ya kutoa maamuzi inakosolewa sana.

BRITNEY AKIWA ANATOA MAAMUZI (JUDGE)

BRITNEY NA BOSI WA SHOW HIYO WAKIWA KATIKA POSE.

No comments:

Post a Comment