Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Thursday, 10 January 2013

BRITNEY SPEARS KUJITOA KATIKA X-FACTOR USA

Britney Spears ajitoa katika X-factor USA punde tu baada ya kipindi cha kwanza cha show baada ya kugundua kuwa Bosi wa show hiyo Simon Cowell yuko mbioni kumtoa kwakuwa anaboa.

Mwimbaji huyo mwenye umri wa miaka 31 ameamua kujitoa wakati Cowell mwenye miaka 51 akiwa katika mipango ya kuvunja mkataba wake wa dola za kimarekani milioni kumi na tano ($15,000,000) baada ya kuona kuwa staili yake ya kutoa maamuzi inakosolewa sana.

BRITNEY AKIWA ANATOA MAAMUZI (JUDGE)

BRITNEY NA BOSI WA SHOW HIYO WAKIWA KATIKA POSE.

MARIO BALOTELI NA STYLE MPYA YA NYWELE

Mchezaji mtukutu wa Manchester City Mario Baloteli sasa kuja na staili mpya ya nywele.

Mchezaji huyo aliiibuka katika uwanja wa mazoezi asubuhi ya leo akiwa na style yake ileile iliyozoeleka lakini zikiwa na rangi ya Gold na kumfanya aonekane katika muonekano tofauti na ilivyozoeleka.

MARIO BALOTELI KATIKA MUONEKANO MPYA

MARIO BALOTELI KATIKA MUONEKANO WA ZAMANI

Wednesday, 9 January 2013

CHEKI KITUMBO CHA AMBER ROSE

Zimebaki wiki chache Amber aitwe mama, hata hivyo Amber Rose ashindwa kuvumilia kuonyesha tumbo lake pale siku zake za kujifungua zikiwa zinakaribia.
Mwanmke huyo wa miaka 29 aweka picha yake ya profile katika mtandao wa kijamii ujulikanao kama Twitter huku akiweka mikono yake juu ya tumbo lake.

 PICHA ALIYOPIGA HUKU MKONO UKIWA TUMBONNI

Katika picha nyingine aliyopiga, Amber alieleza kuwa ujauzito wake umemfanya atamani sana kula ikapelekea mpaka ku-share picha moja ya vitu anavyotamani sana kula.

PICHA ALIYO-SHARE IKIONYESHA VYAKULA ANAVYOTAMANI SANA KIPINDI HICHI CHA UJAUZITO

BEYONCE STILL HOT AND SEX

Mwanamke matata Beyonce ashangaza watu pale alipopiga picha akiwa amevaa ki top kifupi na nguo ya ndani (chupi) ya aina ya ngozi ya tyger akionyesha tumbo wazi. Ni mwaka mmoja tangu ajifungue mtoto wa kike lakini mbali na kujifungua huko bado yuko Hot and Sex kama alivyopiga picha katika cover ya Jarida lijulikanalo kama GQ kwa kujishaua na kuonyesha kuwa yeye ni mkali zaidi na mashabiki wengi kumkubali

PICHA ALIYOPIGA BEYONCE

Beyonce alijifungua mtoto wa kike mwaka uliopita (2012) akiwa na mumewe Jay-z

Tuesday, 8 January 2013

DAVID BECKHAM NA STYLE YA NYWELE

inasemekana kuwa mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya uingereza David Beckham ndiye mwanamme wa kwanza na wa pekee aliyekuwa na style nyingi sana za nywele na watu wengi sana wa Uingereza walizipenda style zote alizokuwa akizitumia hakuna hata moja iliyowachukiza watu

PICHA TOFAUTI ZA DAVID BECKHAM ZIKIONYESHA STYLE TOFAUTI ZA NYWELE