Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Wednesday, 8 August 2012
SINTA AMVAA NEY WA MITEGO LIVE
Inaonekana Sintah ameamua kuinunua kesi ya wasichana wa Bongo Movies na Ney Wa Mitego aliyewadiss kuwa ni Malaya.
Haya ndo aliyoyaandika kwenye website yake.
“Hivi wa wapi weweee,mbona husomeki weweee,tume google hupatikani wewe. Shukurani kwa mdogo wako alietuletea picha yako ya beach, sijui nani sijui nay utaweza??
Jipange,namuonea huruma mama yako kuzaa kiumbe kilichoharibikiwa, nina jaribu kugoogle naona Ne-yo wa US sasa nisaidie nitupie kwa mnyamani au kiembe mbuzi niambieeee ili nikupate my brodaaaaa you have just tickled a private part of a tiger,,, you wanted promo now you gotta maza vitumbua.
NEY WA KUJITEGA MWENYEWE MAANA UNA CHASTE MBU SIJUI UTAMTEGA NANI, KAMA UNA SHIDA NA MIMI DJ DJ DJ AND MY BRODAA CHOKA ANAJUA NINAPOEGESHA MILONJO YANGU SASA KAMA UNATAKA KUIKATA KAMA ULIVYOWAMBIA WATU WAKO BBM (MAANA HU HUNA HADHI YA KUKAA KTK MY BBM LIST) MWAMBIE AKULETE.MDOMO HUPONZA KICHWA NA UMEJIPONZA.
LOVES LEO NIMEWAFUNGULIA COMMENT MTU AKIGUSWA ATAJIJUA MAANA NIMECHOKA KUONEA WATU HURUMA KAMA NOMA NA IWE NOMA.NEY NIMESHAMPA RUHUSA MLINZI AKURUHUSU UINGIE SWALI ANAKUJUA??? JIPANGE ULIPOCHOKOZA SIPO KABISA. UNSTOPPABLE.NOTHING BUT CONFIDENCE.
MSICHANA AMBAYE ANA TWO SIDES (COOPERATE FIGURE NA ACTRESS) OOH SORRY USIJE MCHANA NITAKUWA SERENA NINA APPOINTMENT NA WORLD BANK CREW CONCERNING MY LAUNCH.SINA SHIDA NA MTU ILA UKINIANZA HUWA NAMALIZA SHIDA ZAKO.”
Tutegemee wimbo wa New wa Mitego maalum kwa kumdiss Sintah hivi karibuni.
HAPPY BELATED B-DAY TO NANCY SUMARI
Jana ilikuwa siku ambayo Miss Tanzania 2005, Nancy Sumari, ambaye ni mshiriki pekee kutoka Tanzania kuwahi kufanya vizuri kwenye mashindano ya Miss World baada ya kutinga hatua za mwisho na hata kunyakulia taji la Miss World Africa.
Nancy aliamua kusherehekea siku yake hii ya kuzaliwa kwa style ya aina yake kwa kushirikiana na mabalozi wenzake wa kampeni ya ‘Elimu yao Wajibu Wetu’ Faraja Nyalandu na Rebeca Gyumi kwa kulitembelea bunge jijini Dodoma kwa ajili ya kuhamasisha uchangiaji kwa ajili ya ujenzi wa mabweni.
Nancy akiwa na Mhe. January Makamba, Rebecca Gyumi na Faraja Nyalandu
"Changia Tofali" ambapo kila mtanzania mwenye mapenzi mema na elimu nchini anaweza kuchangia kwa kutuma ujumbe fupi wa SMS yenye maandishi CHANGIA TOFALI kwenda kwenye namba 15564, na utatozwa Tsh 250. Lengo la kampeni hii ni kuchangia ujenzi wa hostel 30 ambazo zitawahudumia wanafunzi wa kike 1,504.
BARNABA'S NEW MANAGER
Kama wewe si mfuatiliaji wa burudani ya hapa nyumbani Tanzania then huna haja ya kutokumjua manager mpya wa artist wa chart-buster song ya "Magube Gube" aitwaye Hellen Kazimoto.
Well kama ulikuwa humjui ni kuwa licha ya umri wake mdogo Hellen aliwahi kupiga kazi mjengoni aka Clouds kama Events/ Projects, Logistics coordinator ambayo aliifanya kwa mafanikio makubwa.
Hellen kwa sasa ndiye anaemsimamia Barnaba anaetamba na his new single called "Sijutii Kwa Niliyempata" kwenye kazi zake zote za kisanii.
Tanzania Top Model hooked up with her ili kujua nini kilichomfanya akaamua kupiga chini kazi mjengoni na kuamua kuingia kwenye issue uya umeneja.
"Kikubwa kilichonifanya kuingia kwenye issue hii ni kupanua wigo wangu wa kipato na kiukweli kuna tofauti ya kufanya kazi as mwajiriwa na kufanya kazi wewe kama wewe, so to me kufanya kazi zangu binafsi kunanipa uhuru zaidi"-Hellen ambaye pia anafanya kazi na kampuni ya South of A iitwayo 30 + Events ambayo ni kampuni dada wa Another Privilege ambazo zinadeal na outdoor events/projects pamoja na Club Fusion ambazo ni new clubs nchini.
"Ninatamani kuona Tanzania ikiwa na the so called msanii si msanii jina bali mwenye kila kitu kinachotakiwa kumfanya kuitwa msanii, kama kuwa na his/her own label kama kina R Kelly, gym yake mwenyewe na vingine vingi ambavyo naamini kwa nguvu za Mungu na ushirikiano wa wadau wenye uelewa mpana wa mziki hapa nchini nitafanikiwa kuitimiza ndoto hii"-added Hellen ambaye anatarajia kumsimamia Joh Makini kwa siku za usoni.

MANENO ATAMANI KUUNDWA KWA UMOJA WA MAMENEJA NCHINI
Alimmanage TID enzi hiizooo, kisha akammanage Diamond na baadae Sam wa Ukweli and recently jamaa kasitisha mkataba wa kufanya kazi na Rich Mavoko kabla ya kutimkia kwa crew mpya jijini ya Watanashati ambayo iko chini ya big boss himself aitwaye Uastaadhi Juma na Musoma.
"Tatizo kubwa ambalo tunalo kwenye music industry is that msanii anaona yeye ni mjuaji zaidi kuliko manager and that the success anayopata ni kutokana na nguvu zake, which is very wrong. Imagine manager ndo anayempika msanii, anam-set katika njia ambayo anahisi ni rahisi kuuza kazi zake, anam-brand kama product ili aweze kumnadi kwenye market, anahangaika kumtafutia producers, sponsors, shows, deals, etc.. manager ndo ambaye anafikiria maslahi ya wasanii, anayaweka mbele hata kabla ya kwake mwenyewe. Iweje msanii anapofanikiwa kuitwa star na kuingiza shs mbili mfukoni anamdharau manager wake? mtu aliemtoa from the lowest?? hii mbayaaa"- Maneno.
Anyways, manager Maneno anadai kwamba haimsumbui kuhama from one artist to another infact it makes him proud kwamba Diamond is one of the leading bongo artist tulienaye na anatamani kumuona akifika mbali zaidi.
''Dhana ya kwamba mimi najaribu kuwadidimiza wasanii ambao nimevunja nao mkataba si kweli, mimi nafurahia mafanikio yao, tena natamani sana kuwatengeneza TID wengine kama sita hivi, na Diamond wengine kama watano hivi.. ili bongo flava izidi kukua"
" Tatizo ni kwamba managers wa hapa Tanzania hatuna thamani kama ilivyo kwa wenzetu, tunadharaulika sana.Kwanini tusiunde chama ambacho kitakua na sheria za kutulinda na kutuongoza? hii itatupa msimamo hata kwa wasanii ambao tunawasaidia halafu baadae wanatuona si lolote, si chochote.." added Maneno.

SAMIR AKATAA KUJITOA KWENYA MKATABA WA RINGTONES
Msanii wa bongo fleva Samer Kassim aka Samir amekuwa msanii wa kwanza kujitokeza hadharani na kusema hawezi vunja mkataba na kampuni inayosimamia nyimbo zake kwenye ringtone sababu bado analipwa pesa nzuri sana na bado anafaidika sana na mauzo ya ringtone ya wimbo wake wa kwanza "Ukipenda" uliotoka mwaka 2009 kupitia Rocker Tz Recods uliotengenezwa na producer Tris , fahamu kuwa Wimbo huo ulimpa Samer show 53 Tanzania tu na kumtambulisha katika game la bongo fleva .
Samir alisema anaamini wasanii wote waliovunja mkataba walijipanga kwanza na kuona hio ndio njia nzuri ya kuboresha mambo yao na yeye atakaa chini na wasimamizi wa kazi zake na kuona uamuzii wao.
Kwa sasa Samir tayari anatamba na ngoma yake mpya iitwayo "Sina Raha"

Subscribe to:
Posts (Atom)